K
Kuna mmoja waqt tumekutana baada ya mzee wangu kugundua anakaa na jitu moja jinga nyumbani kwake(hilo jinga ni mimi)akaamua kunipeleka shule huko ndipo nilikutana na huyo bibie hapo tumeisha pevuka tupo elimu ya upili.Demu akawa hajishughulishuli watu tunapiga msuli watu wakamuuliza vp mbona hivyo?akajibu mimi sihangaiki kuna jitu linanisomea huko akimaanisha kuna kidume kitakuja kumuoa huwezi amini ukimuona leo kachoka watoto watatu kila mmoja na baba yake.