Mh...kumbe watu wana sababu nyingi za kuwa member humu...yani wanaume wameisha mitaani mpaka ushobokee wa nyuma ya keyboard ...mna risk nyie...ngoja mje muwa date matapeli na wauaji toka Nigeria

Anataka kula tunda uyo...kwel luzaliwa mjin fom 6...hahaha jpeleke tu..
Akishakuweka ndani hiyo ndoa ndo bye bye utaiomba hadi magoti yaote sugu.
hivi wewe latifaa wanaume wa jf hawajakuchosha tu?
wewe si ndiyo ulitokaga na member mmoja humu ukaja kumfungulia thread?
Threads za huyu mtu huwa ni za uongo uongo tu...
Hahahaaa.... Urafiki wa kibaby baby? Sawa tutakuwa makini.