The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,283
- 49,323
Wanyama nao wana akili ya kufikiri ndo maana huoni simba dume akimpanda simba dume mwenzie na akiona dume lingine limeingia kwenye empire yake anaswitch kwenye attack mode. Another very interesting thing, simba dume akimkuta jike na watoto anawaua na kuzaa wake! Ubongo wa dume unachemka hapo..
Kwa hiyo kwako hicho ndio kiwango cha juu cha kufikiri cha wanyama unachokifananisha na cha binadamu?
Unaposema 'wanyama hawaoi, wanajamiiana kwa kuendeleza kizazi.." Mbona hata kwa binadamu hii imekua ni kawaida siku hizi? Watu wangapi unaowafahamu wewe wameamua kuzaa tu na hawajaoana? Kwani binadamu ukitaka kuzaa lazima uwe kwenye ndoa?
Nnachomaanisha hapa ni hiki, mfumo wa mahusiano kati ya dume na jike wa binadamu na mfumo wa mahusiano wa wanyama wengine uko tofauti sana.
Hiyo definition yako ya umalaya ni very offensive kwa ndugu zangu waislamu, usishangae kukiwa na maanndano makubwa sana siku ya ijumaa baada ya swala!!
Naomba nirekebishe
Malaya=Kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu zaidi ya mmoja nje ya ndoa.
Naomba unijibu hili swali
Hadi kufikia hatua hii ya kufananisha wanume wanyama na binadamu, lengo ni kuhalalisha wanaume kuwa na mahusiano na wanawake wengi au kuna kitu kingine? Thanks