halloperidon
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,101
- 5,266
Mtoto mchele mchele huyo
Naweza sema si kawaida ila hiyo kitu inawapandisha sana nyege wanaume!!! Si lazima awe anajihusisha na ushoga... Kuna mdada atakua alithubutu kumuonjesha hiyo malighafi.... Unaambiwa ni tamu achaaaa!
samahani...hata ivo sihitaji kufahamika na wala hakuna atakaeifaham huku na sina haja yakumfaham mtu! nipo hapa kwaajili ya ushauri tu ikiwezekana kuwashauri na wengine! ni matukio tu yanaotukumba binaadam...limenifika nimekuja kwenu kuuliza if this is normal ama laaKwanini wageni wengi wanaotoka fb wanakuja na style za kipuuzi? Au ndo kutafuta kufahamika, humu hatuko fb matangazo yenu huko huko kwa mashoga wenzenu.
hapana siwez kutoa siri za mwanaume hata iweje! nmekaa nalo rohoni na siwezi kumuuliza mtu yyte yule ndio maana nmekuja kwenu najua hakuna anaenijua humu ndani ili niweze kupata abcd za hichi kitu! naweza kukaa nalo kumbe ni tatizo au naweza kujijingea wasiwasi kumbe ni kawaida tu...kwakuwa sijawahi kuskia hichi kitu! nipo serious kwa hili! ni mtu mzima najielewaWanawake hamuwezi kukaa na siri za ndani, Hapo utakuta wamama wa saloon wote wameshatangaziwa...
No wonder akawa anapumuliwa kisogoni maana mwanaume kamili hata ukishikwa tako tu kwa bahati mbaya lazima u-mind sembuse mtu kukutia dole sehem yakunyeahabari! ni mgeni huku jf! nipokeeni..
nna mchumba angu niko nae takriban 4yrs sasa! tunatarajia kufunga ndoa soon...hv karibuni ameanzisha kamchemzo flani hivi tunapokuwa faragha! anahitaji nimtie kidole sehem ya haja kubwa eti japo kidogo ndio huskia raha zaidi! me cjawahi kuona hii kitu nilishtuka sana! je hii ni kawaida ama? sielewiiiii
unakosea nanoli! usiseme hivyoUnatafuta kiki.. Hizi story za fb... Miaka yote minne, story uloiona ya room kwenu ya kutuletea hapa ni hiyo ya kihanithi.... Kipo unacholenga.... Kuna watu wanatangaza naniliii yao huku... Wapoooooo
Tatizo lenu nyinyi hampendi kukaa na wapenzi wenu mkawauliza mnakimbilia humu kwa kila jambo, em jaribu kukaa nae na kumuuliza baadhi ya vitu ambavyo unaviona vinamuhusu yeye. Akishindwa kukujibu aidha kwa ukali wake au kwa kutokupenda kumfikiria toafauti njoo huku tupeane ushauri. Swali jee yeye ulishawahi kumuuliza? Kama ndio alikujibu nini? Samahani sama kwa koment ya kwanza kama nimekukwaza kichwa kina mengi sawa?samahani...hata ivo sihitaji kufahamika na wala hakuna atakaeifaham huku na sina haja yakumfaham mtu! nipo hapa kwaajili ya ushauri tu ikiwezekana kuwashauri na wengine! ni matukio tu yanaotukumba binaadam...limenifika nimekuja kwenu kuuliza if this is normal ama laa
Muulize mwenyewe, kwani sababu anazo yeye mwenyewe, uliyemuona ana tabia Kama za mpenzi wako umeambiwa yuko huku? Muulize akuambie, ndo mapenzi mubashara... Na hii story ni ya uongo, nishawahi sikiaga kitambo saana. Na utuambie anapokuambia uingize kidole we unafanyaje..... Hizi story za kisen**..ni biashara mpya hii...unakosea nanoli! usiseme hivyo
mmh mama mbona unantoa roho kwa avator yakoHahaha eti japo kdg..ngoja waje wakupe ushauri
Ni vema lakini you have no idea if your nigga is also using JFhapana siwez kutoa siri za mwanaume hata iweje! nmekaa nalo rohoni na siwezi kumuuliza mtu yyte yule ndio maana nmekuja kwenu najua hakuna anaenijua humu ndani ili niweze kupata abcd za hichi kitu! naweza kukaa nalo kumbe ni tatizo au naweza kujijingea wasiwasi kumbe ni kawaida tu...kwakuwa sijawahi kuskia hichi kitu! nipo serious kwa hili! ni mtu mzima najielewa
account mpya but ni walewale tu wazamanimmmmh hivi kuna uhusiano gani wa New member na hizi mada za ajabu ajabu hizi!