Swali gumu na halina jibu moja,lakn ngoja nieleze yanguTumekuwa tukizoea kitchen party makungwi wake ni wanawake wenzetu kukueleza nn unatakiwa kumfanyia mumeo mm leo naomba kuwauliza wahusika wenyewe, ww kama mwanaume ungependa mkeo aweje kwa maana ya tabia, akufanyia mambo gani sio kwenye sita kwa sita bali kwenye idara zote, ili uweze hata kutamba mbele ya wanaume wenzio kuwa you have the best wife!
Natarajia kuingia kwenye hiyo taasisi soon, so i want my husby 2 b awe proud na mmAkubali kuwa ndoa ni taasisi na kama ilivyo kwa kila taasisi ndoa ina mtendaji mkuu ambaye ni mume. Mambo ya Beijing awaachie akina Ananilea Nkya huko huko kwenye TV. Ayasikilize wanayosema lakini achanganye akili za mbayuwayu na za kwake.
Sasa ili niendelee kukupa sera zaidi kwanza nijulishe kama umeolewa au la? na kama umeolewa una muda gani katika ndoa yako na je umepata mtoto au watoto. Hii ni muhimu kwa sababu kila hatua ina maelekezo yake mahsusi kuhusu nini hasa mwanaume anataka.
Swali gumu na halina jibu moja,lakn ngoja nieleze yangu
1.awe mzuri(subjective kwa vigezo vyangu)
2.awe anajiamini(hapa namanisha awe na say na asimamie kile anachokiamni)_sio nafanya makosa anachekacheka kwa uoga.
3.awe mtiifu(aitambue nafasi yangu kwake na kwa familia i.e baba kichwa cha nyumba).
4.awe msikivu na mueledi wa mambo(sio anaambiwa vitu na kukurupuka na kuanza kurusha mawe)
5.asiwe mhanga sana wa maisha(hapa namaanisha asiwe mbahili kupita kiasi)..kila kitu bajeti_sio
6.mcheshi na mkarimu kwa familia na wageni pia
7.awe msafi na ajue kutimiza wajibu na majukumu yake i.e kupika,kufua,usafi wa ndani etc
8.asiwe na wivu kupita kiasi..kila mara kukuuliza uko wapi,unafanya nn,na kina nani?
Ni hayo niliyofanikiwa kuyakumbuka,ila natumaini yapo mengine sema wateja ni wengi wanahitaji huduma ya kushonewa na kubrashiwa viatu,...anyway_i will be back
hapa leo mnaongea point
hapa leo mnaongea point
Mkuu,..wewe ulitegemea sifa kama zipi labda...2 start withMasharti na vigezo unavyovitaka suppose vinazingatiwa , sasa mazee wewe una reciprocate kwa kuwa na sifa zipi?
hapa leo mnaongea point
kweli leo mmeamka vizuri yale oooh demu wangu ana mbweche mkubwa yale kuna siku tutavunjana huku mjuengoja kesho ntakuja na yenu,...na wewe ujitahidi kumwaga mapoint basi
Tumekuwa tukizoea kitchen party makungwi wake ni wanawake wenzetu kukueleza nn unatakiwa kumfanyia mumeo mm leo naomba kuwauliza wahusika wenyewe, ww kama mwanaume ungependa mkeo aweje kwa maana ya tabia, akufanyia mambo gani sio kwenye sita kwa sita bali kwenye idara zote, ili uweze hata kutamba mbele ya wanaume wenzio kuwa you have the best wife!
kweli leo mmeamka vizuri yale oooh demu wangu ana mbweche mkubwa yale kuna siku tutavunjana huku mjue
mm nalitambua hilo,na ndio maana nikitaka kuliwasha ni lazma nifunge vioo,...ila hiyo tabia ya kutembea na viwembe uache bana.kweli leo mmeamka vizuri yale oooh demu wangu ana mbweche mkubwa yale kuna siku tutavunjana huku mjue
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEE!Asante sana,wateja wakipungua rudi utumalizie na hayo mengine!Swali gumu na halina jibu moja,lakn ngoja nieleze yangu
1.awe mzuri(subjective kwa vigezo vyangu)
2.awe anajiamini(hapa namanisha awe na say na asimamie kile anachokiamni)_sio nafanya makosa anachekacheka kwa uoga.
3.awe mtiifu(aitambue nafasi yangu kwake na kwa familia i.e baba kichwa cha nyumba).
4.awe msikivu na mueledi wa mambo(sio anaambiwa vitu na kukurupuka na kuanza kurusha mawe)
5.asiwe mhanga sana wa maisha(hapa namaanisha asiwe mbahili kupita kiasi)..kila kitu bajeti_sio
6.mcheshi na mkarimu kwa familia na wageni pia
7.awe msafi na ajue kutimiza wajibu na majukumu yake i.e kupika,kufua,usafi wa ndani etc
8.asiwe na wivu kupita kiasi..kila mara kukuuliza uko wapi,unafanya nn,na kina nani?
Ni hayo niliyofanikiwa kuyakumbuka,ila natumaini yapo mengine sema wateja ni wengi wanahitaji huduma ya kushonewa na kubrashiwa viatu,...anyway_i will be back
wee yani mtu hadi kwenye kiwiko cha mkono jamani cantalisia kamuhifadhi kweli bana leo mimi ningemlaza ndani bana khaaaaaaaaaaaaaaamm nalitambua hilo,na ndio maana nikitaka kuliwasha ni lazma nifunge vioo,...ila hiyo tabia ya kutembea na viwembe uache bana.
huh..................hapa hebu niwe mgeni kidogowe unajuaje kama mbweche yako ni kubwa au ndogo?