Hivi mnaongeleaga akina nani..? Maana sisi wengine tunaona mada za kugeneralize kila siku ..lkn ni watu tuna proffessional zetu nzuri, tunapiga kazi, kipato kipo, mademu tunakamua vizuri tu..unawaongelea akina nani..? Au in other words unaona ni sawa kugeneralize au ni waliokuzunguka wewe ndo wapo hivyo..? Maana unaongea hivyo as if ni wanaume wote wapo hivyo..! Tutaanza kuulizana hapa maeneo tunayoishi usikute mtu anakutana na vibrazamen vya kino na sinza anakuja kugeneralize hapa..!