Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,510
- 8,012
wanaume wabahili wa jf mnachekesha sana[emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji2827]aloo, hivi unajisikiaje kuto kumspoil mpenzi wako au mkeo? yan mmeona ni big deal kumhonga mkeo mpenzi wako? sawa anafanya kazi sasa kumsapot kias nayo ni vita? wanaume wabahili wa jf mnachekesha sana,mimi nafanya kaz na hela yangu inatumika na sote wawili, kilichopungua baada ya yeye kuongeza ni jukum langu kuchangia tunasaidiana maisha yaende,
wanawake na wasichana wenzangu tafuteni kaz muepuke haya mashambulizi, japo nashangaa bado yan kuninunulia dozen ya chupi kuhudumia sehem inyokutoa stress nako ni mbinde? wanaume wabahili kutoa ni moyo sio utajiri no wonder mnsalitiwa unamvumilia mtu unajua hana siku akipata pia hajiongez usimpe kikubwa hata kidogo inaongeza credit fulan kwamba unajali nyie mnadhani kujali ni kunitelezeshea tu mtinyama wako? kama tunavyoshirikiana kitandani bas kwa ustawi wa uchumi wa penzi na ndoa yetu iwe hivohivo mind you sikubaliani na mwanamke ambae hela yake haionekani hao ndio wabaya watuponzao wote
Hakuna mwanamke hapa kama tu mpaka chupi lina subiri msaada wa mwanaume 🚮japo nashangaa bado yan kuninunulia dozen ya chupi kuhudumia sehem inyokutoa stress nako ni mbinde?
hawa wanawake wasio na huruma mnawaokota wapi?Hela ya mwanamke ni ya kwake
Hela ya mwanaume ni ya wote.
Usiombe mwanamke akukopeshe hela...
baba ako angejua bora angepiga nyeto tu bao lakoVingereza vingi mbele kiza tahira hili.
Hiyo pesa yake yeye anafanyia kazi gani ?
ukiona mtu analialia ujue hana cha kutoa yani hana helaKweli mimi ni m!hongaji
Siku hizi mnauza miili kama malaya wa barabarani indirect kwa malipo ya pesa a.k.a kuhudumiwaAloo, hivi unajisikiaje kuto kumspoil mpenzi wako au mkeo? yaani mmeona ni big deal kumhonga mkeo mpenzi wako? sawa anafanya kazi sasa kumsapoti kiasi nayo ni vita? wanaume wabahili wa JF mnachekesha sana, mimi nafanya kazi na hela yangu inatumika na sote wawili, kilichopungua baada ya yeye kuongeza ni jukumu langu kuchangia tunasaidiana maisha yaende.
Wanawake na wasichana wenzangu tafuteni kazi muepuke haya mashambulizi, japo nashangaa bado yaani kuninunulia dozen ya chupi kuhudumia sehem inyokutoa stress nako ni mbinde? wanaume wabahili kutoa ni moyo sio utajiri no wonder mnsalitiwa unamvumilia mtu unajua hana siku akipata pia hajiongezi usimpe kikubwa hata kidogo inaongeza credit fulani kwamba unajali nyie mnadhani kujali ni kunitelezeshea tu mtinyama wako? kama tunavyoshirikiana kitandani basi kwa ustawi wa uchumi wa penzi na ndoa yetu iwe hivohivo, mind you sikubaliani na mwanamke ambae hela yake haionekani hao ndio wabaya watuponzao wote.
waambie hao, mimi binafsi hela yangu inatumika na inaonekana kwanza sio utu wala tabia nzuri mtu unapata hela mwenzio anaminyana kuwahhdumia wewe unapata zako unazikalia hii ni dalili ya roho mbaya na choyo chako chako cha mwenzio cha wote hell noUbahili sio asili ya wanaume, wanaume tumeumbwa kutoa kuanzia shahawa hadi mali, vitu vyote tunavyotafta sio vyetu, ni vya wanawake na watoto.
Ubahili ni tabia mbaya, ni ubinafsi mkubwa sana mwanaume kua bahili na inaenda kinyume na asili ya uanaume.
tafta hela kijana hela ya mwanamke mwenye akili n kuongezea pale wewe kama baba unapofemea lakini jukum kubwa unatakiwa ulibebe wewe babaHakuna mwanamke hapa kama tu mpaka chupi lina subiri msaada wa mwanaume 🚮
okayNyie ombaomba mpaka mseme mwaka huu.
Muna viuongo vyote lakini munawazidi ombaomba wa posta
Na ndio maana alinileta ili kushughulikia matahira kama nyie mkae kwenye mstari.baba ako angejua bora angepiga nyeto tu bao lako
yan ww kwamba huku nje sina wa kumpa mpaka nije kukuuzia wewe? anyway hata ningekua nauza sidhani kama ningekuuzia wwSiku mnauza miili kama malaya wa barabarani indirect kwa malipo ya pesa a.k.a huduma
Sh. ngapi unauza ? Weka bei elekezi
kumbe mama yako pia tahira okay ngoja nikupuuzeNa ndio maana alinileta ili kushughulikia matahira nyie make kwenye mstari.
Haya sema bei elekezi sh.ngapi watu wananunue ?