Wanaume na nguo za swimming pool mnatutisha jamani

Wanaume na nguo za swimming pool mnatutisha jamani

nawe utaendaje kuoga swimming pool pamoja na mwanaume ndio mama ako maekufundisha hivyo
 
Hiyo swiming pool itakuwa uliiona kwenye move za kanumba

singo maza Kapuku kama wewe nan apoteze pesa zake kukupeleka swiming
Hawa single mothers si tunawazalisha sisi wanaume wakiwa wazuri kabisa? Bora single mother kakubali kuzaa wengi wanatoa hizo mimba na ninasikitika hao ndio utawaona wanafaa/wakupelekwa swimming just because hawajazilishwa, tukiwatreat hivi unadhani tatizo la kutoa mimba litapungua au litaongezeka maana no way out watu wasimake love na haya ni miongoni mwa matokeo yake!
 
Hakuna mwanamke anatega mitego ya namna hii bana. Unavyozidi kujaribu ndio unazidi kuji-expose kuwa ni catfish.
 
Back
Top Bottom