bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,863
Shikamoo! I mic u so much.
si ulisema umeshindwa kumbadilisha wewe???
mara ushammisi.................
Shikamoo! I mic u so much.
mie niltalitizama kwa angle nyengine hili suala ............
kuna wanawake wanaishi na wanaume kwa sababu za kimazingira labda ujauzito ambao hakuutarajia, au kajuulikana kwao (hasa akiwa mschana mdogo) kuwa ana mwanamme, akatimuliwa.....
mimi nnahisi kwanza tanzania mimba sizizopangwa zipo nyingi kupita kiasi..................hebu na tuanze hapo kwanza
tuwafunze wasichana not to have sex mpaka wawe wanajua matokeo yake
kama uko tayari kuingia kwenye tendo.................use protection. kutumia condom kila siku muhali kwa mwanamme atleast basi kula dawa za kuzuwia mimba.
afadhali huyo alopata mimba karuhusiwa kukaa kwa mwanamme ........kuna wengine inawabidi wakatoe uchochoroni
jamani jamani huu mpango wa kupenda sex bila kujua consequences zake ni mbaya mno....tujirekebishe
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:si ulisema umeshindwa kumbadilisha wewe???
mara ushammisi.................
Chako ni chako ndugu yangu....si ulisema umeshindwa kumbadilisha wewe???
mara ushammisi.................
sijui nilikuwa wapi mpaka page zimefika 9 ...tunaongelea nini bht?
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
ngoja nikachukue valuu za pikiti ili nione katikati ya mstari umeandika nini
Shikamoo! I mic u so much.
hapo chacha!!!bht umemaliza maneno .....ngono haikataziki kwa karne hii ................
(but kama wewe mwenyewe uliishi na mwanamme miaka mitatu ndo mkafunga ndoa ......utamkataza mwanao kweli? kwa misingi ipi?)
Du! Kwa style hii wanaume wengi wataendea kuwepokuwepo sana kwa kutaraji kwamba next second atafikia maamuzi. La kushangaza umekaa na mwenza wako muda mrefu na mtoto/watoto tayari mnao ugumu uko wapi kuhalalisha wandugu?Just a second!:smiling::smiling:
XPin, mambo? eti kabinti yako kakipata mimba wakati bado yupo chini ya himaya yako utafanyaje? au utachukua hatua gani?
by the way nimepnda sana signature yako!
Mie nataka kumuuliza huyu mama sasa ndoa ya nini? wewe hapo ushamaliza kaa tuu ulee watoto...(BTW mom I really love your avatar)
halafu this confuses me yakhe...anamwitaje baba watoto kama anataka kum introduce kwa jamaa au rafiki: Guys this is my Boyfriend (i suppose this is the conventional term for such an individual) au huyu baba wa watoto wangu? which it sounds like there is something missing....
Mie nataka kumuuliza huyu mama sasa ndoa ya nini? wewe hapo ushamaliza kaa tuu ulee watoto...(BTW mom I really love your avatar)
halafu this confuses me yakhe...anamwitaje baba watoto kama anataka kum introduce kwa jamaa au rafiki: Guys this is my Boyfriend (i suppose this is the conventional term for such an individual) au huyu baba wa watoto wangu? which it sounds like there is something missing....
Chrispin nimecheka karibu nizimike kama kibatari lol!!!