Ushauri, mwaka 2025 na 2026 wanaume tulio kwenye ndoa tujaribu kutulia

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
2,830
2,417
Wanaume tulioa tuitane tukae kikao 2025 na 2026 tutulie kwenye ndoa zetu, tuangalie wale mabinti wanaoenda kwenye mahotel kupiga picha vitandani au kwenye vioo sijui wanaita kuflex.

Kama wataendelea au watangoja turudi tena 2027 kuhudumia.

Nawasilisha
 
Clearly mlio kwenye Ndoa mmesha changanyikiwa. Cheki tittle uliyoandika, eti 2025 na 2025 kudadeq.

Kataa Ndoa
 
Hawa watu wakwenye ndoa wangepimwa afya ya akili mirembe pasingetosha mkuu.

Wanawake nao wana tamaa ya ndoa kupita kiasi, mwisho wa siku wanaambulia hawa jamaa.
 
Wanaume tulioa tuitane tukae kikao 2025 na 2026 tutulie kwenye ndoa zetu, tuangalie wale mabinti wanaoenda kwenye mahotel kupiga picha vitandani au kwenye vioo sijui wanaita kuflex.

Kama wataendelea au watangoja turudi tena 2027 kuhudumia.

Nawasilisha
🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom