wanaume na mipira yaooo!!!

Si tunapendanna kwenye shida na raha mama! Ya nini kuanza kulalama kwa vitu vidogo kama hivi? Ningekunyima kabisa je?
 

Unanijua mi ni "Mshika Bunduki" (Arsenal) damudamu. Tumepoteza mechi na Chelsea, we hata pole hakuna unaanza kuleta mashtaka yako yasiyo na kichwa wala miguu.
 
Uko sahihi #Debora ila mara nyingi hawa uwa ni malimbukeni wa ushabiki!, ushabik ambao hauna busara ndan yake, na asilimia chache sana wameenda shule..!
 
Unanijua mi ni "Mshika Bunduki" (Arsenal) damudamu. Tumepoteza mechi na Chelsea, we hata pole hakuna unaanza kuleta mashtaka yako yasiyo na kichwa wala miguu.

hiyo ni dalili ya kumiminiwa nyingi na mashetani wekunduu.
 
huyo hashindwi kusingizia serikali ya ccm kwa timu yake kufungwa,,,,hana maana kabsa.,,its like a dog barking at the wrong tree.
 
Mueleze ukweli tu kuwa ndoa yako haina ubia na ushabiki wake!!!!!!

Kuna siku atalala nje kisa kufungwa!!!
 
Haha!
Kweli jana Chelsea walitufunga... hata mimi sikumpa mpenzi wangu tunda jana, japo alilalama usiku kucha.... teh!
kumbe mliooa mna kazi,kila siku game?
 
Hahaaaaaa, huyo kma huo ugonjwa umeamka jana baada ya mechi ya Chelsea basi lazima atakua Arsenal, na kama ugonjwa ni wa kila siku basi atakua Man U...
Msinipige mawe
 

:shock: Kabisa? mwanaume anasusia mechi??????

 
Jaman lkn ukweli sisi wenye waume ambao ni Arsenal tunapata shida jamani....................
mpaka mtu unatamani sijui nini kitokee..........

mimi shabiki wa man u, huzzy arsenal sasa sikilizia yaani siku man u wanacheza usishangilie a.ma wamafunga ama wamefungwa yaani wala usiseme juu ya timu yako. siku arsenal wakifungwa ole wako unyanyuke uanze kusema chchote utanuniwa wewe hadi ujute.

Kuna siku nlipigwa mkwara ama nihamie arsenal la niache kuwa shabiki wa mpira, ndipo siku nilipoijua akili ya wanaume ilivyo yaani hawapendi kupata upinzania hasa kwa wake zao. nilifika mahali sikuwa nashabikia mpira na hata kutazama ili tu nisiwe na upinzani kwake.......

mie siku hizi nashangalia kisirisiri sipend kumuudhi mtu na wala sili wala kunywa mpira ingawa naupenda
 
Unanijua mi ni "Mshika Bunduki" (Arsenal) damudamu. Tumepoteza mechi na Chelsea, we hata pole hakuna unaanza kuleta mashtaka yako yasiyo na kichwa wala miguu.

sa ndo ht mechi uninyime loh!!
 
mim nikifungwaga kadem changu kanakoma yani magoli yote narudisha kwake..nakuaga na MACHUNGU..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…