Habarini wana MMU. Nimewamisi sana. Natumai mtanistahi kidogo nawajua kwa majibu ya ovyo hamjambo.
Una siku 25 tu tangu umejiunga hapa JF halafu unasema maneno hayo!!!!!
ingekuwa me ndo huyo BF wako, aisee uso wako ungelowa damu
gunia mbili za mkaa zitakuhusu ukinishika makalio asee
Hua mna associate kushikwa tako na ushoga au? I don't see what the big deal isUnachezea Nyala za Serikali Utachakazwa
Ukitaka kuona vita kuu ya tatu ya Dunia basi jaribu kugusa hiyo kitu!
Kama unatoa tigo njoo huku my...ila nyie hadi tigo mkitaka mnapewa. Acheni ukoloni.