Mmmhhhh kuna watu wanapenda aiseeee mpaka unajuta.Wengine wanapenda halafu hawana nguvu.
Ni sawa na mtu anayekitamani chakula lakin ukimpa kula basi anaonja tu.
Hehehe, ukimpa kwa kumsusia ni kweli utamuona kuwa hana nguvu...mpe kwa upendo na kujali hali yake...wote mtafurahi.
