Wanaume na kichaa cha kimya kimya cha ngono…

Wanaume na kichaa cha kimya kimya cha ngono…

Do you know someone who has it?

Wakati niko O-level kulikuwa na mbaba mwenye asili ya ki Asia alikuwa ana pack gari yake mtaa wa Allykhan pale jirani na Mzizima,anashusha vioo wanafunzi wakipita anatoa uume wake na kuanza kuuchezea.
Sijui huyo ana fit hapa?
 
Aisee ....

Mlikua mnajisikiaje mkiona hicho kitendo?
 
Am ok am thanks lord
Tunashukuru kwa maombi yko
Wewe je mchunga kondoo wa bwana

Sijui wengine paroko
Mi nipo poa na kondoo ninaowasiliana nao wako poa pia

Pilika vipi?
 
Mmmhhhh kuna watu wanapenda aiseeee mpaka unajuta.Wengine wanapenda halafu hawana nguvu.
Ni sawa na mtu anayekitamani chakula lakin ukimpa kula basi anaonja tu.

asante mama,yaani mtu anakuwa na uroho afu anashindwa kutafuna ndudu?hatareeeeeeeeeeeee
 
Mpwa hii habari nzuri sana kwa vijana.. siku moja moja unatuhita na sisi wazee tuje kusoma hizi habari za MMU ingawa lugha za huku ngumu sana na wana misamiati miiingi mipya..kama kugegedana sijui ndo nini!?
 
hatari kuna mmoja alikuwa analalamika humu anapiga magoli kumi kwa siku tpaul
huyo akienda uingereza kwa sasa atakuwa na msaada mkubwa sana kwa maabara zao za kuhifadhia mbegu za kiume......kwa sasa kuna uhaba.....
 
Wakati niko O-level kulikuwa na mbaba mwenye asili ya ki Asia alikuwa ana pack gari yake mtaa wa Allykhan pale jirani na Mzizima,anashusha vioo wanafunzi wakipita anatoa uume wake na kuanza kuuchezea.
Sijui huyo ana fit hapa?

hiyo kitalamu inaitwa EXHIBITIONISM.........

Exhibitionism, which involves exposing one's genitals or sexual organs to a stranger, falls under the psychiatric sexual disorders category of paraphilias, "abnormal or unnatural attraction" or obsession with unusual sexual practices or with sexual activity involving nonconsenting or inappropriate partners.

The exhibitionist might masturbate (or fantasize about masturbating) while exposing himself but makes no further attempt at sexual activity with the stranger. The individual is sometimes aware of a desire to startle or upset the observer. At times, the individual might fantasize that the observer will become sexually aroused. Exhibitionism, though often discussed as a humorous topic, is a very serious behavior that can frighten the victim. The exhibitionist is typically male, and the victim is usually a female (adult or child), and usually an unsuspecting stranger.
 
Mie kuna mmoja huyo yalinshinda akiniona tu keshadisa,iwe ofisini,iwe akipiga Cm, kwenye gari ye keshachanganyikiwa yakanshinda
 
Wakati niko O-level kulikuwa na mbaba mwenye asili ya ki Asia alikuwa ana pack gari yake mtaa wa Allykhan pale jirani na Mzizima,anashusha vioo wanafunzi wakipita anatoa uume wake na kuanza kuuchezea.
Sijui huyo ana fit hapa?

Aiseee....alijua wanamfurahia ama?
 
Back
Top Bottom