Wanaume na haraka ya ngono

Inaweza kutegemea na ww alivyokuchukulia[emoji12]

La pili ni mara nyingi mwanaume anatafuta mwanamke akiwa mpweke na mhitaji wa gegedo

Pia inawezekana ndo lengo lake tu

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Yani mwanaume akikubaliwa tu siku hiyohiyo anataka issue
Kwani baada ya muda gani tangu umkubalie unafaa kumpa mambo

Sent from my 1201 using JamiiForums mobile app
 
Ni kuomba mungu usikutane na gume gume tu otherwise mhmmhmhmhmhmhmhmh balaa....

Pia Kuna wanaume wanajitambua sana nao kumi kwa mmoja... Kumpata sasa....

Cc Smart911
 
Ni kuomba mungu usikutane na gume gume tu otherwise mhmmhmhmhmhmhmhmh balaa....

Pia Kuna wanaume wanajitambua sana nao kumi kwa mmoja... Kumpata sasa....

Cc Smart911
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nashukuru katika kumi huyo mmoja ni mimi
 
Daaah umenigusa MKUU nimetoka kumduu MTU mida hiii hiii ,nimetia neno tu kakubali kuna kigiza nimempa cha njiwa faster

Sent from my Z4 using JamiiForums mobile app
 
Kwani baada ya muda gani tangu umkubalie unafaa kumpa mambo

Sent from my 1201 using JamiiForums mobile app
Angalau utoe nafasi ya kufahamiana vizuri
 
Daaah umenigusa MKUU nimetoka kumduu MTU mida hiii hiii ,nimetia neno tu kakubali kuna kigiza nimempa cha njiwa faster

Sent from my Z4 using JamiiForums mobile app
Hongera mkuu kwa kuondokana na bikira yako leo jioni
 
Sasa ukishakubali nianze kusubiria nini tena mwishowe aje mwenye haraka zake aniwahi
 
Kwani lengo la kutongoza ni nini hasa?

Sent from my Nokia katochi using Jamii Forums Mobile App.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…