Wanaume na haraka ya ngono

Wanaume na haraka ya ngono

Spirit

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
457
Reaction score
383
Habari zenu waungwana,

Nina swali moja leo kwa wanaume;

Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi?

Karibuni kwenye mada
 
Habari zenu waungwana!! Nina swali moja leo kwa wanaume. Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi? Karibuni kwenye mada

Umemkubali lini na kakuomba lini?!
 
Habari zenu waungwana!! Nina swali moja leo kwa wanaume. Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi? Karibuni kwenye mada

Sasa kama umeshamkubali unataka asubiri nini? Kwani alikutongoza ili iweje?
 
Mbona na nyinyi mkishatongozwa tu mnakimbilia kutuomba pesa? ?

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
Wachache sana inateinatemea na malez siiwanawake wote ombaomba
 
Back
Top Bottom