Wanaume muwe wasafi basiiii khaaaaa

Duuuuuh mtu ana masters asijipende????? Anyway hiyo ni changamoto kwa wasiojipenda.

masters na,kujipenda nvimna uhuwiano gani??ina maana ambao hawana masters ndio wanastaili kuwa wachafu,mtoa mada acha ufinyu wa mawazo
 
masters na,kujipenda nvimna uhuwiano gani??ina maana ambao hawana masters ndio wanastaili kuwa wachafu,mtoa mada acha ufinyu wa mawazo

hakuna mahali palipoandikwa kama huna masters uwe mchafu....... ungeifikiria vizuri ungeona nimeshangaa kwa inakuaje mtu msomi, anayejua umuhimu wa afya bora si tu kwa kufunzwa na wazazi kama kila mtu afunzwavyo, na kajifunza darasani....(hapa toka elimu ya msingi hufunzwa)akawa mchafu hivyo
 

hapo kwenye tips hapo naomba sana wanaume wapasome na wapazingatie....... Yaani ni kweli kuna unyunyu mwanaume akijipulizia unatamani tu apite karibu yako kila dakika loh
 
hapo kwenye tips hapo naomba sana wanaume wapasome na wapazingatie....... Yaani ni kweli kuna unyunyu mwanaume akijipulizia unatamani tu apite karibu yako kila dakika loh

Mi nakuangalia tu....
 
AHAHAHHAHAHHAHAHHAHHAAHHAHAHHAHAH yani nimecheka mpaka basi!watu mna maneno jamani lol!
 
tena wakifungua miguu unaeza lutapika kwa harufu tena hawa wa mjini sikuhizi hata hawanawi wao wanafuta na karatasi ndio usiombe, na mwisho usafi wa mdomo
Yaani uko thawakabitha hayo madubwasha yananukaga usiombe.
 



si kweli ya kwamba sote tuko ivo

wengine sisi mahanfsome boys na wasafi hadi nyinyi wenyewe mnatuogopa..!!
 
niombe radhi

SITAKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII...............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Na simuombi radhiiiiiiiiiiiiiii................!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ng'oooooooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…