BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
- Thread starter
-
- #41
mlaumu mwanamke mwenzio na sio mmewe upo hapo bishosti...😱hwell:
umofia kwenu.....
Nimekaa nalo hili toka mchana......
Kaka zetu vipi jamani? Hata kujipenda kidogo?
Unakuta mwanaume, msomi na masters yake ananuka uvundo? Ananuka kutu? Ananuka kama maharage yaliyochacha?
Hivi hamjinusi?
Au hiyo harufu mnadhani ni perfume?
Mwanaume unavaa shati moja siku tatu?
Imagine mko kwenye kikao, mwanaume kichwani zinachaji anatema pointi ila mweeee harufuuuuuu.....ptuuuuuuuu unatamani kutapika.... Mwili unatema harufu kaliii
Tena wale mliooa msiseme wake zenu hawawaandai, usafi ni hulka ya mtu, kama ni msafi hutosubiri kusafishwa na mkeo.....
Please please jamani.......
Wanaume , Mtu ni afya, jali afya yako,
koga angalau mara mbili kwa siku, nguo hata kama ni kauka nikuvae ifue iwe safi, nyoq makwapa, nyoa mnarani, paka perfume, hata deorodanti zipo za bei nafuu mfano za fa, si lazima upake expensive.....
Jipende na jijali......
Nawatakia usiku mwema....
Hawa watu wakitema wanatema kweli..fukuto lake si la kitoto ati!!
Waambrrrrriiiiiiiiieeeeeeeeeeeeeeeeee...........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Tumewachokaaaaaaaaaaaaaaaa................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Waambrrrrrrrrrriiiiiiiiiiiieeeeeeeeeeeeeeee................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Baelezeeeeeeeeeeeeeeeeeee...............Baeleweeeeeeeeeeeeeeeeeeee..............!!!!!!!!!!!!
Asente.
Wanawake wenye tabia hizi huwa wananishangaza sana. Namaanisha hizi za kuropoka.
Wewe unajiuza?
Nauliza hivi kwa kuwa sipati jibu umeshatembea na wanaume wangapi wenye masters mpaka ukathubutu kufanya generalization na kui-caption WANAUME!
washaisomaaaaaa my dear, mambo gani haya ya kuchefuana?????? Mwanaume akipita karibu yako unatafuta panya kafia wapi???????loh
Umesema kweli mke wa ujana wangu. Kweli kabisaaa!
Ila amin amin nakuambia, una heri wewe uliyekutana na mwanaume anayenuka. Ukikutana na mwanamke anayenuka afu usipate Typhoid, rudi ukatambike kabla Yesu hajarudi.
Na hili ndilo neno la mmeo ODM.
washaisomaaaaaa my dear, mambo gani haya ya kuchefuana?????? Mwanaume akipita karibu yako unatafuta panya kafia wapi???????loh
kuna wanawake wanaoga washroom?Ujumbe mzuri sana huu,ila mie nakubari wadada wanajari sana attention thus why wanakuwa wasafi mda wote kwa target ya attention na kula vichwa!!! Mie mda mwingi na hustle jasho mtindo mmoja sijapaka makeup zozote za kuwa mkavu unategemea nini? Wanawake mapochi yenu yamejaa kila kitu,ukitoka jasho unaingia washaroom unaoga unatoa mapoooda na makosmetik unajipaka........
kuna wanawake wanaoga washroom?Ujumbe mzuri sana huu,ila mie nakubari wadada wanajari sana attention thus why wanakuwa wasafi mda wote kwa target ya attention na kula vichwa!!! Mie mda mwingi na hustle jasho mtindo mmoja sijapaka makeup zozote za kuwa mkavu unategemea nini? Wanawake mapochi yenu yamejaa kila kitu,ukitoka jasho unaingia washaroom unaoga unatoa mapoooda na makosmetik unajipaka........
hahahahahahahah Asprin my hubby naelewa hilo, kuna baadhi ya wanawake wananuka pia, ingawa sikutaka kulizungumzia hilo...........laiti kama sheria za kazi zingelazimisha wanaume waoge loh
Wanawake wengine mavaluvalu tu, hata kumtengeneza ukosi wa shati mumewe hana muda, soksi za mumewe zinanuka kama panya aliyeoza, mke hajali lol!!
kweli usafi ni hulka, lakini mtu anashindwa kuona/kujua kuwa nguo inanuka? Au ananuka? Anashindwa kufikiri wanaomzunguka watamchukuliaje msomi kama yeye kunuka uvundo? Kweli usafi ni wito
Mzee wa Rula ,inabidi wabadilike, kuvunda haipendezi aisee.....
bora umewachana live...... kisa cha kunuka kimbuzi mbuzi nini!!!!! tena harufu za mdomo ndio uwiiiiii!!! noumer.
Unaonaje kama ungelizungumzia hili kijumla ili kutunusuru na sisi wanaume dhidi ya harufu mbaya ya wanawake na wanaume wachafu?
Amin amin nakuambia, wanaume wanaocheat (siyo mimi lakini) hukutana na miarufu ya ajabu sana ya wanawake
Aihuuuuu babu weeeee.
Mwanaume utafikiri gari la taka.
Afu ukute ananuka ule uvundo wa chini ya mapumb.u,utatamani utapike.
kijasho + kikwapa + soksi + mdomo= Kutapika tu hapo.
Afu utakuta mwengine ana mke wake,huwa najiuliza anampandaje mkewe kifuani ilhali mwili wake wote umeozaaaa?????
Jirekebisheniiiiiiii
Hasa nyie mabachela uchwara.
Nitakuwa siji ghetto kwako.
Na wewe unafanya nini kwenye mapumbuu ya wanaume? Ukipata kipindupindu usinitafute!