Wanaume muwe wasafi basiiii khaaaaa

Wanaume muwe wasafi basiiii khaaaaa

kwahiyo tuwe tunatumia tissue kama nyie??? this is not fair kabisa
Tatizo kubwa huwa hawanawi sehemu ya siri mara wamalizapo kukojoa mikojo huingia kwny chupi huganda na kutoa uvundo na ukizingatia boxa wanarudia wiki nzima uvundo unakuwa balaaaa!!
 
Wanawake mna uwezo mkubwa wa kunusa kuliko wa kwetu ...so sorry for you!!
 
umofia kwenu.....

Nimekaa nalo hili toka mchana......

Kaka zetu vipi jamani? Hata kujipenda kidogo?
Unakuta mwanaume, msomi na masters yake ananuka uvundo? Ananuka kutu? Ananuka kama maharage yaliyochacha?

Hivi hamjinusi?
Au hiyo harufu mnadhani ni perfume?
Mwanaume unavaa shati moja siku tatu?

Imagine mko kwenye kikao, mwanaume kichwani zinachaji anatema pointi ila mweeee harufuuuuuu.....ptuuuuuuuu unatamani kutapika.... Mwili unatema harufu kaliii

Tena wale mliooa msiseme wake zenu hawawaandai, usafi ni hulka ya mtu, kama ni msafi hutosubiri kusafishwa na mkeo.....

Please please jamani.......
Wanaume , Mtu ni afya, jali afya yako,
koga angalau mara mbili kwa siku, nguo hata kama ni kauka nikuvae ifue iwe safi, nyoq makwapa, nyoa mnarani, paka perfume, hata deorodanti zipo za bei nafuu mfano za fa, si lazima upake expensive.....

Jipende na jijali......

Nawatakia usiku mwema....


Hili nalo neno hasa tunapoelekea mwaka 2013.
Kijana kutoka kwatu napo ni suna kama kutahiri vile...ama mnasemaje wasafi?
 
Usafi wa mtu hutokana na malezi aliyoyapata akiwa bado mdogo
 
hata akija, nimeshamtega

Mi ni bingwa wa fitina ngoja nihamie PM na nimpe hela ya mafuta/tax siku hizi nimepanda chat sitoi hela ya bajaj au boda boda mwendo wa tax tu.
 
Back
Top Bottom