Wanaume muwe wasafi basiiii khaaaaa

Wanaume muwe wasafi basiiii khaaaaa

Akulinde nani makoyo?
Najua uko uliko unahemea juu ya kinena cha nanai?

Hapana Madame B, ni wewe peke yako, nakujali peke yako, nakukumbuka peke yako, kila nilicho nacho ni kwajili yako, tafadhali husiende kwa mwingine kama The Big Show ni waongo watupu
 
Usafi ni muhimu kwa jinsia zote mbili. Kuna mademu wako poa kimuonekano ila ukipata french kiss unasikia kaharufu fulani kutoka mdomoni... Yaani sio kabisa...
 
kwani hivi sredi si ilikua usafi wa wanaume!
haya maklitu hapo juu yametokea wapi lol!
 
Si huwa wanasema wanawake wanapenda harufu ya jasho la wanaume :becky:
 
Hapana Madame B, ni wewe peke yako, nakujali peke yako, nakukumbuka peke yako, kila nilicho nacho ni kwajili yako, tafadhali husiende kwa mwingine kama The Big Show ni waongo watupu

Ushindwe na ulegee
 
ninae mie sasa

tunakula vyetu kwa nakshi nakshi tuh

huyu si pesa tuh??tatzo ww unachungulia sana mfuko wako mokoyo

kuhusu mshiko ondoa shaka kabisa, nikikutimizia yale ya sociolization utajali pesa saaaana zaidi ya kunimis kila wakati, njoo huku toka huko kwenye shoooooooombooooooo Madame B, pesa bila raha
 
Back
Top Bottom