Wanaume muwe mnajiongeza basi

Wanaume muwe mnajiongeza basi

Na lazima watoe povu wao wanataka kuona mwanamke kapendeza hawajui kapendeza vipi hata mia hatoi
Mimi mtu kama hanihudumii kwa chochote huwa namwambia hata nikipendeza ni marufuku kunisifia .....hawezi kusifia wakati hajui gharama yake
 
Wanaume sijui wamekuwaje Siku hizi,unakuwa naye kwenye mahusiano,halafu hakupi hata hela ya matumizi mpaka umuombe

Kwanza anapokupa anajivuta vuta,muda mwingine wanapotezea,lakini yeye akiwa na hamu fast sms njoo ghetto nikwambie

Mbona wanaume wazamani walikuwa wanatoa matumizi wa siku hizi wamekuwa mabahili ndo maana hata hawajengi wanaishia kupanga tu

Kama haupo tayari kumhudumia mwanamke ya nini umtongoze,unafurahia kushikashika mwili wake huku hauutunzi

Mwanamke maua,ili aendelee kuchanua mwagilizia maji,ili asije akaanza kukucheat,unakaa unalalamika mke wangu ananicheat,unamdukua kumbe tatizo lako,humjali unategemea ataendelea kuwa na wewe

Jiongezeni basi
Pole sana tafuta kwako...tatizo mmejaa matamaa ya hovyo...
Wake zetu tunawapa mpaka ATm..ila nyie milupo mtapata tabu sana
 
Mwanaume anayejua wajibu wake kwa mke au mpenzi wake ni wajibu wake kumpa hela za matumizi sio mpaka aombwe

mimi huwa nafata maandiko ya vitabu vyetu pendwa viwili...

sijawahi kukutana na maandiko yaliyosema.. mwanamke atakula kwa urefu wa kamba ya mumewake...
 
Inamaana tukiwapa hela ndio tunapata na zakujengea au.

Wanawake wa zamani walikua hawaombi ombi hela, wa sasa mnaomba sana pesa ndomana hatujengi tunaishia kupanga.
Kweli kabisa. Wanawake wa zamani walikua hawana gharama kivile
Kusuka: ilikuwa twende kilio, kilimanjaro etc.
Kucha wanapaka ina tu.
Mambo ya makeup haya kuwepo zaidi ya kupaka poda.
Maswala ya miamala, vocha hazikuwepo.
Walikua wanaridhika na hali na walikua na mapenzi ya dhati.
 
Mdada yaonyesha kaumia sana kumegwa bila kupewa hata kifuta jasho.
Pole sana mrembo
 
Mkuu pole sana......
Nakushauri ufate vibabu ambavambavyo vishachukua mafao ya kustaaff PSPF vizeeee ndio vinahonga siku hizi .

Sisi ni kusugua tu hatuhongi usawa huu
 
Back
Top Bottom