Ndio maana mnamegwa kisha mnaachwa. Mmeweka mbele pesa kama mnauza. Wote mbapata raha sasa wewe kwa nn usipambane upate hela ya matumizi au uwe omba omba. Hiyo ni starehe tu. Sio lazima uuze. Wanaojielewa huwa hawaombi pesa.Wanaume sijui wamekuwaje Siku hizi,unakuwa naye kwenye mahusiano,halafu hakupi hata hela ya matumizi mpaka umuombe
Kwanza anapokupa anajivuta vuta,muda mwingine wanapotezea,lakini yeye akiwa na hamu fast sms njoo ghetto nikwambie
Mbona wanaume wazamani walikuwa wanatoa matumizi wa siku hizi wamekuwa mabahili ndo maana hata hawajengi wanaishia kupanga tu
Kama haupo tayari kumhudumia mwanamke ya nini umtongoze,unafurahia kushikashika mwili wake huku hauutunzi
Mwanamke maua,ili aendelee kuchanua mwagilizia maji,ili asije akaanza kukucheat,unakaa unalalamika mke wangu ananicheat,unamdukua kumbe tatizo lako,humjali unategemea ataendelea kuwa na wewe
Jiongezeni basi
haki gani?Kumbuka kuna haki sawa mama
50/50 kwenye mambo yotehaki gani?
na usipotuma nilichokwambia natoa hii mimba yako apaHehehe
babeeTusipo wapenda, je ni nani atawapenda? Ni aibu mdada kuomba hadi hela ped. Mkipewa mkumbuke mahitaji ya msingi na lazima
Wewe hiwa unatoa zawadi kwa mwanaume wako?yaani wengine hata zawadi tu wanashindwa wakati wao wanapokea zawad toka kwa wanawake...mmh wabahili sijui wachoyo dooh hatar
woiiiii50/50 kwenye mambo yote
Naaaaam! Naona mambo ya kujiongeza hukubabee
Ndio maana nakupenda. Haya mambo ya uzunguniwoiiiii
hamna kitu kama hyoo
nakupenda pia maana we mwelewa piaNdio maana nakupenda. Haya mambo ya uzunguni
Shukrani [emoji8] [emoji8] [emoji8]. Upo fresh?nakupenda pia maana we mwelewa pia
yeah am goodShukrani [emoji8] [emoji8] [emoji8]. Upo fresh?
Vizuriyeah am good