Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,497
- 17,560
Uwe unataja kabisa dau lako ni sh ngapi sio kuja kulialia hapa jf
Nyie wenyewe ndo mnajirahisisha ..so lazima mliwe bure ..then unapaswa kujua sio kila mwanaume unapokua naye kwenye relationship anakuchukulia serious wengine wanawachukulia nyie km vipoozeo vya kupunguza maugwadu ...Wanaume sijui wamekuwaje Siku hizi,unakuwa naye kwenye mahusiano,halafu hakupi hata hela ya matumizi mpaka umuombe
Kwanza anapokupa anajivuta vuta,muda mwingine wanapotezea,lakini yeye akiwa na hamu fast sms njoo ghetto nikwambie
Mbona wanaume wazamani walikuwa wanatoa matumizi wa siku hizi wamekuwa mabahili ndo maana hata hawajengi wanaishia kupanga tu
Kama haupo tayari kumhudumia mwanamke ya nini umtongoze,unafurahia kushikashika mwili wake huku hauutunzi
Mwanamke maua,ili aendelee kuchanua mwagilizia maji,ili asije akaanza kukucheat,unakaa unalalamika mke wangu ananicheat,unamdukua kumbe tatizo lako,humjali unategemea ataendelea kuwa na wewe
Jiongezeni basi
Mnataka kutunzwa vipi nyie wenyewe mnajitunza ..km kuzingatia usafi...kui maintain papuchi ..au mnaomba tuu pesa wakat maeneo kule hali c haliNakazia tena kwa misumari mikubwa kabisa....waache ubahili...wanajua kuuliza "bby utakuja lini sasa" ila kwenye matunzo mpaka RB ihusike......wanaume mjiongeze msiiieeew mnakeraaaaa wengine hatujui kuomba ila kutunzwa tunapenda
We unadhani kana,kwamba we n mjanja sana ..au ...nichunguze upyaMimi mtu kama hanihudumii kwa chochote huwa namwambia hata nikipendeza ni marufuku kunisifia .....hawezi kusifia wakati hajui gharama yake
We unajiongezaga kwenye kutoa zigoSio kila mtu ana mizinga.....tupo ambao hata miez mitano unakaa hatujaomba hata thumni.....ila tunahitaji mjiongeze wenyewe
UkaliweKama ndivyo sms za nini njoo gheto
Huhuhuhu huo msonyo sasamfyuu
hhahahahaha daaah noma sana hiiSaivi tuna-honga MIMBA TU pesa fateni HAZINA YA TAIFA.
wewe huwezi kujitunza? kauze maandazi upate hela zako acha kulalamika,hela tunatoa kulingana na huduma tunayopata kutoka kwa chombo kinachoridhisha.Mwanamke hata kama anakazi,wajibu ni wa mwanaume kumtunza
Nadhani umesikikaWanaume sijui wamekuwaje Siku hizi,unakuwa naye kwenye mahusiano,halafu hakupi hata hela ya matumizi mpaka umuombe
Kwanza anapokupa anajivuta vuta,muda mwingine wanapotezea,lakini yeye akiwa na hamu fast sms njoo ghetto nikwambie
Mbona wanaume wazamani walikuwa wanatoa matumizi wa siku hizi wamekuwa mabahili ndo maana hata hawajengi wanaishia kupanga tu
Kama haupo tayari kumhudumia mwanamke ya nini umtongoze,unafurahia kushikashika mwili wake huku hauutunzi
Mwanamke maua,ili aendelee kuchanua mwagilizia maji,ili asije akaanza kukucheat,unakaa unalalamika mke wangu ananicheat,unamdukua kumbe tatizo lako,humjali unategemea ataendelea kuwa na wewe
Jiongezeni basi
Njoo huku, Wa zamani bado nipo.Wanaume sijui wamekuwaje Siku hizi,unakuwa naye kwenye mahusiano,halafu hakupi hata hela ya matumizi mpaka umuombe
Kwanza anapokupa anajivuta vuta,muda mwingine wanapotezea,lakini yeye akiwa na hamu fast sms njoo ghetto nikwambie
Mbona wanaume wazamani walikuwa wanatoa matumizi wa siku hizi wamekuwa mabahili ndo maana hata hawajengi wanaishia kupanga tu
Kama haupo tayari kumhudumia mwanamke ya nini umtongoze,unafurahia kushikashika mwili wake huku hauutunzi
Mwanamke maua,ili aendelee kuchanua mwagilizia maji,ili asije akaanza kukucheat,unakaa unalalamika mke wangu ananicheat,unamdukua kumbe tatizo lako,humjali unategemea ataendelea kuwa na wewe
Jiongezeni basi
HAHAHHAHAHAHAHSaivi tuna-honga MIMBA TU pesa fateni HAZINA YA TAIFA.
Kupenda na kutamani sio suala la kutaka au kutokutaka, huja AUTO tuBasi acheni kupenda
Namimi ndo namshangaa huyu binti mapenzi ya zamani yalikuwa cheap sana wnawake hawakuwa na mahitaji mengi kama sasa mitandao ya kijamii imeharibu mtindo wa maisha mana zamani kiwango cha mwisho kuhonga ni simu tochi smartphone bado hazijaingia wanawake wa zamani walikuwa wavumilivu mana wakiolewa walikuwa wanakubali kuanza kulala ata chiniKweli kabisa. Wanawake wa zamani walikua hawana gharama kivile
Kusuka: ilikuwa twende kilio, kilimanjaro etc.
Kucha wanapaka ina tu.
Mambo ya makeup haya kuwepo zaidi ya kupaka poda.
Maswala ya miamala, vocha hazikuwepo.
Walikua wanaridhika na hali na walikua na mapenzi ya dhati.