Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,172
Ukiona hivyo ujue wewe sio mtamu,ungekuwa mtamu angekupa hata mshahara wake wote
HeheheSaivi tuna-honga MIMBA TU pesa fateni HAZINA YA TAIFA.
Ndo hiyo ya ku-exchange papuchi kwa pesa!Mkuu
Pole, kwani huna kazi?
Tusipo wapenda, je ni nani atawapenda? Ni aibu mdada kuomba hadi hela ped. Mkipewa mkumbuke mahitaji ya msingi na lazimaBasi acheni kupenda
Si kwa hasira hizoWanaume sijui wamekuwaje Siku hizi,unakuwa naye kwenye mahusiano,halafu hakupi hata hela ya matumizi mpaka umuombe
Kwanza anapokupa anajivuta vuta,muda mwingine wanapotezea,lakini yeye akiwa na hamu fast sms njoo ghetto nikwambie
Mbona wanaume wazamani walikuwa wanatoa matumizi wa siku hizi wamekuwa mabahili ndo maana hata hawajengi wanaishia kupanga tu
Kama haupo tayari kumhudumia mwanamke ya nini umtongoze,unafurahia kushikashika mwili wake huku hauutunzi
Mwanamke maua,ili aendelee kuchanua mwagilizia maji,ili asije akaanza kukucheat,unakaa unalalamika mke wangu ananicheat,unamdukua kumbe tatizo lako,humjali unategemea ataendelea kuwa na wewe
Jiongezeni basi
Paka mwenye njaa hata machinchira huyala.Kama ndivyo sms za nini njoo gheto
NYIE SI MNATAKA FIFTY FIFTY?Wanaume sijui wamekuwaje Siku hizi,unakuwa naye kwenye mahusiano,halafu hakupi hata hela ya matumizi mpaka umuombe
Kwanza anapokupa anajivuta vuta,muda mwingine wanapotezea,lakini yeye akiwa na hamu fast sms njoo ghetto nikwambie
Mbona wanaume wazamani walikuwa wanatoa matumizi wa siku hizi wamekuwa mabahili ndo maana hata hawajengi wanaishia kupanga tu
Kama haupo tayari kumhudumia mwanamke ya nini umtongoze,unafurahia kushikashika mwili wake huku hauutunzi
Mwanamke maua,ili aendelee kuchanua mwagilizia maji,ili asije akaanza kukucheat,unakaa unalalamika mke wangu ananicheat,unamdukua kumbe tatizo lako,humjali unategemea ataendelea kuwa na wewe
Jiongezeni basi
Matumizi ya niniMwanaume anayejua wajibu wake kwa mke au mpenzi wake ni wajibu wake kumpa hela za matumizi sio mpaka aombwe
Matumizi ya nini
Tafuta pesa zako dadangu, mapenzi sio pesaWanaume sijui wamekuwaje Siku hizi,unakuwa naye kwenye mahusiano,halafu hakupi hata hela ya matumizi mpaka umuombe