Wanaume muwe mnajiongeza basi

Wanaume muwe mnajiongeza basi

Wanaume sijui wamekuwaje Siku hizi,unakuwa naye kwenye mahusiano,halafu hakupi hata hela ya matumizi mpaka umuombe

Kwanza anapokupa anajivuta vuta,muda mwingine wanapotezea,lakini yeye akiwa na hamu fast sms njoo ghetto nikwambie

Mbona wanaume wazamani walikuwa wanatoa matumizi wa siku hizi wamekuwa mabahili ndo maana hata hawajengi wanaishia kupanga tu

Kama haupo tayari kumhudumia mwanamke ya nini umtongoze,unafurahia kushikashika mwili wake huku hauutunzi

Mwanamke maua,ili aendelee kuchanua mwagilizia maji,ili asije akaanza kukucheat,unakaa unalalamika mke wangu ananicheat,unamdukua kumbe tatizo lako,humjali unategemea ataendelea kuwa na wewe

Jiongezeni basi
Sasa kwa nini usiende kwa hao wa zamani?!
 
Namimi ndo namshangaa huyu binti mapenzi ya zamani yalikuwa cheap sana wnawake hawakuwa na mahitaji mengi kama sasa mitandao ya kijamii imeharibu mtindo wa maisha mana zamani kiwango cha mwisho kuhonga ni simu tochi smartphone bado hazijaingia wanawake wa zamani walikuwa wavumilivu mana wakiolewa walikuwa wanakubali kuanza kulala ata chini
ushauri wangu wakina dada ukiona mahitaji yako ni makubwa unataka uishi maisha ya usister du tafuta zingine mwenyew jiongeze usisubiri kuletewa tu mtabaki mnatulaumu tu tukiwaacha
Ninaposema zamani sio mwaka 1970 ni 2000-2008
 
Wanaume sijui wamekuwaje Siku hizi,unakuwa naye kwenye mahusiano,halafu hakupi hata hela ya matumizi mpaka umuombe

Kwanza anapokupa anajivuta vuta,muda mwingine wanapotezea,lakini yeye akiwa na hamu fast sms njoo ghetto nikwambie

Mbona wanaume wazamani walikuwa wanatoa matumizi wa siku hizi wamekuwa mabahili ndo maana hata hawajengi wanaishia kupanga tu

Kama haupo tayari kumhudumia mwanamke ya nini umtongoze,unafurahia kushikashika mwili wake huku hauutunzi

Mwanamke maua,ili aendelee kuchanua mwagilizia maji,ili asije akaanza kukucheat,unakaa unalalamika mke wangu ananicheat,unamdukua kumbe tatizo lako,humjali unategemea ataendelea kuwa na wewe

Jiongezeni basi
Mmmh!!hakuna jipya hapo coz sijawahi kujua viumbe nyie huwa mnahitaji mini maana mkipewa hela mnawahonga shamba boy,mkiishia kugegedwa mnakuja kulalamika hapa
 
Sema ukweli,huwa hamtoi matumizi mpaka tuseme
 
Wanaume sijui wamekuwaje Siku hizi,unakuwa naye kwenye mahusiano,halafu hakupi hata hela ya matumizi mpaka umuombe

Kwanza anapokupa anajivuta vuta,muda mwingine wanapotezea,lakini yeye akiwa na hamu fast sms njoo ghetto nikwambie

Mbona wanaume wazamani walikuwa wanatoa matumizi wa siku hizi wamekuwa mabahili ndo maana hata hawajengi wanaishia kupanga tu

Kama haupo tayari kumhudumia mwanamke ya nini umtongoze,unafurahia kushikashika mwili wake huku hauutunzi

Mwanamke maua,ili aendelee kuchanua mwagilizia maji,ili asije akaanza kukucheat,unakaa unalalamika mke wangu ananicheat,unamdukua kumbe tatizo lako,humjali unategemea ataendelea kuwa na wewe

Jiongezeni basi
pole hii ni dalili tosha kua yamekukuta
mi nakushaul tu mwambie akupe kwasababu hata yeye akitaka papuchi anakuomba kwani tatizo liko wap
 
Kama vimekaza acha kutongoza
Mkiachwa kutongozwa mnaanza kulia Lia oooh mm ninamkosi gani mbona sitongozwi , ukitongozwa ooooh mbona mm sipew pesa acha kulia Lia dada fanya kazi utaishi maisha mazuri tu, fanya mapenzi tu Kama sehem ya kuupa moyo wako furaha, ukifanya mapenzi ndio sehem ya kipato chako Haitotokea ukampata mwanaume anekuridhisha , hata awe anakupa pesa vipi hautardhika , fanya kazi, fata kaulimbiu ya muheshimiwa ya hapa kazi tu hahahaa
 
Back
Top Bottom