Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

Habari za mida wana MMU,

Jamani hapa nimechanganyikiwa sielewi, nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto mmoja wa mwaka na ndani ya huo muda wote sijawahi kuhisi mume wangu kunicheat japo kuna wakati huwa anachelewa kurudi ananiambia ni mambo ya kazi tunasort yanaisha.

Sasa majuzi nimekuta nilishika simu yake ndogo, nikakuta sms anamwambia mwanamke amemiss mapenzi anayompa, anajuta kwanini hakumjua mapema, anampenda sana na mambo kama hayo, toka majuzi mpaka muda huu sijamwambia ila yeye amashaanza kujistukia yaan amekuwa mpole ghafla anajikanyaga kanyaga tu.

Nimekuja humu najua kuna wake na waume za watu ma-legend ambao wameshapitia hii adha mnipe ushauri what to do maana nimechanganyikiwa nikikumbuka hizo sms kichwa kinapata moto.

Nawaza hata nimuache asee maana upendo wenyewe hakuna tena.
Hizi thread nyingine muwe mnazianzisha wakati Kasie kashalala...

Sasa kiherehere cha kushika simu yake alikufundisha nani?

Ukitaka uwe na mwanaume mmoja basi omba Mungu uolewe na Yesu.
 
Unataka kusema mwanamke alieolewa akiwa hana bikra hasamehewi dhambi ya kutolewa bikra na mwanaume asie mume wake???

Kwa Mungu dhambi zote husamehewa acha kutisha watu.
Kama ni hivyo usemavyo basi wanawake walioolewa na wanaume ambao hawakuwatoa bikra hawana haja ya kusali( sasa unasali nini ilhali una dhambi isiyosameheka)
Kuna sehem nimeandika husamehewi? Em rudia kusoma kwanza

Hoja zangu zilijikita kwenye spiritual realm kama ilivyoelezwa na niliyem quote, kama ni Hoja ya kusamehewa, hata aliyechepuka saba Mara sabini anasameheka na ndoa itabaki kama mwanzo kwa macho ya kawaida, ila kwa muktadha wa spiritual realm tunaongelea jambo tofaut I kabisa mkuu
 
Dada ebu rudia tena eti unawaza umuache?
Yaani umuache mume??! Kwa dunia hii umuache mume!! Anahudumia familia kabisa au? Tatizo ndo hilo la kuchepuka tu ndo uache mume?

Ebu mwambie kaeni chini huenda kweli kuna sehem humfinyii vizuri.
Ana hatari sana huyo msichana. Hebu mfundeni basi
 
Kinyekunyeku kilichokufanya ushike simu kimetoka wapi tatizo umelitaka mwenyewe umetengeneza bomu mwenyewe acha ayo mambo ya kumfatilia mume wako utakufa na presha kikubwa angalia kama anakujali basi eti unasema sijui niondoke nimwache we acha ndoa yako nenda uone kama utakuwa umemkomoa au lah
 
Ndoa ni wawili kuwa mwili mmoja; ukichepuka mnakuwa na ndoa au ni kitu gani cha watu watatu au zaidi?

Kwa nini Biblia inasema mtu asimuache mkewe isipokuwa kwa sababu ya uzinzi?

Hakuna asiyetenda dhambi wala kuwa na immune ya kutotenda dhambi; ila sijivunii Wala kuhalalisha dhambi zangu kama mnavyohalalisha usaliti. And yes ninaomba Toba na Rehema all the time kwa sababu najijua sio mkamilifu.

Mimi kuwa mdhambi haimaanishi nikiona mtu anahalalisha dhambi (kujisifia ujinga) nikae kimya nisimuonye. Kuonyana ni lazima hata kama hakuna mtakatifu kati yetu. Ndiyo maana hata watoto wetu tunawaonya wanapokosea; au tuache kuwaonya kwa sababu sisi wazazi wao sio watakatifu?

Madhara ya dhambi unayajua ila madhara ya usaliti huyajui? Au unafikiri watu kuachana ni hadi mtu ahame nyumba physically? Unapolala na mtu asiye mke/mume wako automatically umelikana lile Agano lenu la Ndoa; hujavunja ndoa yako kwa uzinzi wako?
Mkisameheana bado ni ndoa Ile Ile. Kama unaongelea suala na mwili mmoja na unasema hata toba inayotolewa kwa aliyechepuka hairudishi ndoa kili pia kuwa kama uliolewa hakuna bikra pia huku wahi kuwa na ndoa.

Sijahalalisha usaliti wala kutokemea, ila kumbuka dhambi hyohyo inasameheka pia ni dhambi kama ya umbea (zote zinakufanya usifae mbele ya haki)
 
Habari za mida wana MMU,

Jamani hapa nimechanganyikiwa sielewi, nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto mmoja wa mwaka na ndani ya huo muda wote sijawahi kuhisi mume wangu kunicheat japo kuna wakati huwa anachelewa kurudi ananiambia ni mambo ya kazi tunasort yanaisha.

Sasa majuzi nimekuta nilishika simu yake ndogo, nikakuta sms anamwambia mwanamke amemiss mapenzi anayompa, anajuta kwanini hakumjua mapema, anampenda sana na mambo kama hayo, toka majuzi mpaka muda huu sijamwambia ila yeye amashaanza kujistukia yaan amekuwa mpole ghafla anajikanyaga kanyaga tu.

Nimekuja humu najua kuna wake na waume za watu ma-legend ambao wameshapitia hii adha mnipe ushauri what to do maana nimechanganyikiwa nikikumbuka hizo sms kichwa kinapata moto.

Nawaza hata nimuache asee maana upendo wenyewe hakuna tena.
Beauty has sent many women into marriage but character is busy packing them out.
 
Habari za mida wana MMU,

Jamani hapa nimechanganyikiwa sielewi, nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto mmoja wa mwaka na ndani ya huo muda wote sijawahi kuhisi mume wangu kunicheat japo kuna wakati huwa anachelewa kurudi ananiambia ni mambo ya kazi tunasort yanaisha.

Sasa majuzi nimekuta nilishika simu yake ndogo, nikakuta sms anamwambia mwanamke amemiss mapenzi anayompa, anajuta kwanini hakumjua mapema, anampenda sana na mambo kama hayo, toka majuzi mpaka muda huu sijamwambia ila yeye amashaanza kujistukia yaan amekuwa mpole ghafla anajikanyaga kanyaga tu.

Nimekuja humu najua kuna wake na waume za watu ma-legend ambao wameshapitia hii adha mnipe ushauri what to do maana nimechanganyikiwa nikikumbuka hizo sms kichwa kinapata moto.

Nawaza hata nimuache asee maana upendo wenyewe hakuna tena.
Tatizo lenu wanawake mkishapata ndoa, mnajisahau mnaona mmemaliza kila kitu hata penzi (tendo la ndoa) tunapata kwa shida hivyo lazima tujiongeze kukabiliana na hali
 
Mkuu pole kwa yaliyokukuta... kaeni chini mfanye mazungumzo na Mme wako..

Kuachana nae itoe kwenye machaguo yako kama adhabu,,, Mvua inanyesha kote ndugu yangu.... Huku nje sisi tutapiga kimasihara na tutakuacha kwa aibu..

Thank me later....
 
Habari za mida wana MMU,

Jamani hapa nimechanganyikiwa sielewi, nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto mmoja wa mwaka na ndani ya huo muda wote sijawahi kuhisi mume wangu kunicheat japo kuna wakati huwa anachelewa kurudi ananiambia ni mambo ya kazi tunasort yanaisha.

Sasa majuzi nimekuta nilishika simu yake ndogo, nikakuta sms anamwambia mwanamke amemiss mapenzi anayompa, anajuta kwanini hakumjua mapema, anampenda sana na mambo kama hayo, toka majuzi mpaka muda huu sijamwambia ila yeye amashaanza kujistukia yaan amekuwa mpole ghafla anajikanyaga kanyaga tu.

Nimekuja humu najua kuna wake na waume za watu ma-legend ambao wameshapitia hii adha mnipe ushauri what to do maana nimechanganyikiwa nikikumbuka hizo sms kichwa kinapata moto.

Nawaza hata nimuache asee maana upendo wenyewe hakuna tena.
Usiondike weye tulia hapo kwa mume. Kila mwanaume anachakata mbususu nje ya ndoa bwana sasa utaolewa mara ngapi ngapi
 
Back
Top Bottom