Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

-Wapo wanaorogwa na michepuko ya waume zao ili wafe michepuko iolewe. Na kuna michepuko inaroga hadi watoto wa ndoa ili wakija wenyewe, watoto wao ndiyo wawe watoto wa pekee.

-Kibiblia the moment mke/mume anapoala na mtu mwingine asiye mke/mume wake automatically NDOA imekufa. Kinachobaki hapo ni makaratasi tu na pete, but in the spiritual realm; hakuna ndoa

-Uasherati una asili ya kutapanya. Kwa sababu mwanaume anayechepuka lazima atatumia sehemu ya kipato cha familia yake kuhudumia mchepuko. Kuna rasilimali za familia zinapotelea kwa mchepuko. Kesho mchepuko umezaa pia, resources nyingine za familia lazima zikahudumie mchepuko na mtoto wake.

- Anayechepuka anaiba muda wa familia yake na kuutumia na mchepuko.

-It's an emotional abuse kwa mke. Lazima mke ataumia, ajiulize maswali kibao; wengine wanaishia kupata presha na depression
Ki biblia pia kama hukuolewa ukiwa bikra, huna ndoa, una makaratasi.... Na kwa Hili hata utubu miaka na miaka bikra hairudi wala kumbukumbu za game zako zote hazisahauliki ( utasamehewa dhambi la madhara ya dhambi yanaweza kukuzuia kufikia ukamilifu wa Imani yako)

Ki biblia pia hata kama uliolewa bikra ukimwangalia mwanaume asiyewako na kumtamani ushazini...

Huu ujasiri wa kufanya maamuzi kama malaika mnautoa wapi? Leo hii mngeulizwa ambaye hajawah kuvunja mojawapo ya hayo 2 juu, Nan atabaki kurusha jiwe?
 
Mwanaume haachwi kwasababu kacheat wewe, anakuheshimu, anakujali na anakupenda kosa moja unataka kuachana nae namna gani wewe.
 
-Wapo wanaorogwa na michepuko ya waume zao ili wafe michepuko iolewe. Na kuna michepuko inaroga hadi watoto wa ndoa ili wakija wenyewe, watoto wao ndiyo wawe watoto wa pekee.

-Kibiblia the moment mke/mume anapoala na mtu mwingine asiye mke/mume wake automatically NDOA imekufa. Kinachobaki hapo ni makaratasi tu na pete, but in the spiritual realm; hakuna ndoa

-Uasherati una asili ya kutapanya. Kwa sababu mwanaume anayechepuka lazima atatumia sehemu ya kipato cha familia yake kuhudumia mchepuko. Kuna rasilimali za familia zinapotelea kwa mchepuko. Kesho mchepuko umezaa pia, resources nyingine za familia lazima zikahudumie mchepuko na mtoto wake.

- Anayechepuka anaiba muda wa familia yake na kuutumia na mchepuko.

-It's an emotional abuse kwa mke. Lazima mke ataumia, ajiulize maswali kibao; wengine wanaishia kupata presha na depression
Umeandika ukweli mpendwa.kuna comments za members ukisoma unatamani umjue anafananaje 😬
 
Ki biblia pia kama hukuolewa ukiwa bikra, huna ndoa, una makaratasi.... Na kwa Hili hata utubu miaka na miaka bikra hairudi wala kumbukumbu za game zako zote hazisahauliki ( utasamehewa dhambi la madhara ya dhambi yanaweza kukuzuia kufikia ukamilifu wa Imani yako)

Ki biblia pia hata kama uliolewa bikra ukimwangalia mwanaume asiyewako na kumtamani ushazini...

Huu ujasiri wa kufanya maamuzi kama malaika mnautoa wapi? Leo hii mngeulizwa ambaye hajawah kuvunja mojawapo ya hayo 2 juu, Nan atabaki kurusha jiwe?
Unataka kusema mwanamke alieolewa akiwa hana bikra hasamehewi dhambi ya kutolewa bikra na mwanaume asie mume wake???

Kwa Mungu dhambi zote husamehewa acha kutisha watu.
Kama ni hivyo usemavyo basi wanawake walioolewa na wanaume ambao hawakuwatoa bikra hawana haja ya kusali( sasa unasali nini ilhali una dhambi isiyosameheka)
 
Ndoa ni wawili kuwa mwili mmoja; ukichepuka mnakuwa na ndoa au ni kitu gani cha watu watatu au zaidi?

Kwa nini Biblia inasema mtu asimuache mkewe isipokuwa kwa sababu ya uzinzi?

Hakuna asiyetenda dhambi wala kuwa na immune ya kutotenda dhambi; ila sijivunii Wala kuhalalisha dhambi zangu kama mnavyohalalisha usaliti. And yes ninaomba Toba na Rehema all the time kwa sababu najijua sio mkamilifu.

Mimi kuwa mdhambi haimaanishi nikiona mtu anahalalisha dhambi (kujisifia ujinga) nikae kimya nisimuonye. Kuonyana ni lazima hata kama hakuna mtakatifu kati yetu. Ndiyo maana hata watoto wetu tunawaonya wanapokosea; au tuache kuwaonya kwa sababu sisi wazazi wao sio watakatifu?

Madhara ya dhambi unayajua ila madhara ya usaliti huyajui? Au unafikiri watu kuachana ni hadi mtu ahame nyumba physically? Unapolala na mtu asiye mke/mume wako automatically umelikana lile Agano lenu la Ndoa; hujavunja ndoa yako kwa uzinzi wako?
 
Wote tumeokoka na ndo huyo yuko hivo hao wasio wazinzi unawatoa wapi? Bora ungenambia nitulie peke yangu ningekuelewa
Mpendwa kuna wanaume waaminifu kabisa walio na hofu ya Mungu, kwao kuzini ni dhambi wapo wengi tu, mie ni mmoja wao.

Kuhusu kutulia peke yako sidhani kama utaweza maana bado upo na umri mdogo pia una homoni hivyo huwezi kuishi kama mtawa ilhali ulishawahi shiriki tendo la ndoa mara nyingi tu.

Naamini utapata mwingine wa kufanana nawe, tulia vita ni vyake BWANA atakupa mwingine achana na huyo mzinzi
 
Unataka kusema mwanamke alieolewa akiwa hana bikra hasamehewi dhambi ya kutolewa bikra na mwanaume asie mume wake???

Kwa Mungu dhambi zote husamehewa acha kutisha watu.
Kama ni hivyo usemavyo basi wanawake walioolewa na wanaume ambao hawakuwatoa bikra hawana haja ya kusali( sasa unasali nini ilhali una dhambi isiyosameheka)
Ningeshangaa ni Biblia ipi hiyo ambayo imeandika dhambi ya uzinzi haisameheki. Eti kama ukiolewa huna bikra hata kama ulitubu na kuvunja hayo maagano ya uzinzi; bado huna ndoa. Seems kuna toleo jipya la Biblia...
 
Habari za mida wana MMU,

Jamani hapa nimechanganyikiwa sielewi, nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto mmoja wa mwaka na ndani ya huo muda wote sijawahi kuhisi mume wangu kunicheat japo kuna wakati huwa anachelewa kurudi ananiambia ni mambo ya kazi tunasort yanaisha.

Sasa majuzi nimekuta nilishika simu yake ndogo, nikakuta sms anamwambia mwanamke amemiss mapenzi anayompa, anajuta kwanini hakumjua mapema, anampenda sana na mambo kama hayo, toka majuzi mpaka muda huu sijamwambia ila yeye amashaanza kujistukia yaan amekuwa mpole ghafla anajikanyaga kanyaga tu.

Nimekuja humu najua kuna wake na waume za watu ma-legend ambao wameshapitia hii adha mnipe ushauri what to do maana nimechanganyikiwa nikikumbuka hizo sms kichwa kinapata moto.

Nawaza hata nimuache asee maana upendo wenyewe hakuna tena.
Wewe nakushauri achana na simu ya mumeo, kama anakupa penzi unarizika, unakuhudumia matumizi na maisha yanasonga achana na hiyo mambo ya sms itakuletea stress bure, ni ngumu kuwa na mume wa peke Yako haswa kama unvyojia mabinti kwasasa ni wengi na wanatafuta wanaume wa kuwalea Sasa chezea shilingi kwenye tundu la choo uone
 
Umeandika ukweli mpendwa.kuna comments za members ukisoma unatamani umjue anafananaje 😬
Watu wanahalalisha tu uzinzi utafikiri ni kitu kirahisi; unafanya tu na maisha yanaendelea kama hakuna kilichotokea. Wengine wanakwenda kubeba malaana maroho ya mikosi huko kwa michepuko na kuileta kwenye familia zao. Mtu yeyote mwenye akili timamu atawaza uzinzi ni zaidi ya kuunganisha vikojoleo; unaunganisha nafsi yako na mtu asiye mke/mume wako. No Wonder maandiko yaliandika kabisa "Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake"
 
Dah ila majibu ya humu.

Kweli wanaume tunashida aisee.

ZIkiletwa mada za wadada humu wamecheat wananyongwa na kupondewa sana ila zikiletwa zetu wanume kesi za kucheat zinaungwa mkono saana na kuhalalishwa kama ni jambo la kawaida na ni kitu sahihi kabisa kwa mwanaume bila kujali matokeo ya baadae hasa kupeleka magonjwa kwa mwenzio nk.

Nilichojifunza humu ni pa kuwa makini sana.
Mwanaume kutamani ni asili ya mwanaume toka kuumbwa kwa dunia,huwezi kubishana na nature
 
Habari za mida wana MMU,

Jamani hapa nimechanganyikiwa sielewi, nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto mmoja wa mwaka na ndani ya huo muda wote sijawahi kuhisi mume wangu kunicheat japo kuna wakati huwa anachelewa kurudi ananiambia ni mambo ya kazi tunasort yanaisha.

Sasa majuzi nimekuta nilishika simu yake ndogo, nikakuta sms anamwambia mwanamke amemiss mapenzi anayompa, anajuta kwanini hakumjua mapema, anampenda sana na mambo kama hayo, toka majuzi mpaka muda huu sijamwambia ila yeye amashaanza kujistukia yaan amekuwa mpole ghafla anajikanyaga kanyaga tu.

Nimekuja humu najua kuna wake na waume za watu ma-legend ambao wameshapitia hii adha mnipe ushauri what to do maana nimechanganyikiwa nikikumbuka hizo sms kichwa kinapata moto.

Nawaza hata nimuache asee maana upendo wenyewe hakuna tena.
... kama kawaida ushaanza kutumia mikono yako kubomoa nyumba yako mwenyewe ila nikutoe hofu hayo maneno tu ya janja janja ili aendelee kupata ila inaonesha kuna stress unampa kidogo kidogo wewe huwa unachukulia poa na ndo ilipelekea yeye kutafuta faraja nje.. kuchepuka ni gharama na risk pia ujue moja ya sababu za kuoa na kuweka ndani mtu ni kuepukana na hii adha ya donoa donoa kama kuku ukiona kaanza tena jua kuna mahali unapwaya na hujajijua au aidha umejijua unachukulia poa... Siku mfanyie jambo analolipenda sana kisha muulize kwa upole wapi anahisi hufanyi vizuri kwa sababu mmeishi sana wewe ni binadamu kuna kuteleza atakuambia ila sio wewe baada ya hapo uanze risala za ambapo yeye afanyi vizuri sababu huenda ni matokeo ya kutofanya kwako vizuri kwa hiyo mtaongea siku nyingine upande wake akisharud kundini ukijirekebisha... Hata Eden aliyeleta matata ni Eva na tamaa zake kwa hisani ya nyoka na hakujijua.
 
Habari za mida wana MMU,

Jamani hapa nimechanganyikiwa sielewi, nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto mmoja wa mwaka na ndani ya huo muda wote sijawahi kuhisi mume wangu kunicheat japo kuna wakati huwa anachelewa kurudi ananiambia ni mambo ya kazi tunasort yanaisha.

Sasa majuzi nimekuta nilishika simu yake ndogo, nikakuta sms anamwambia mwanamke amemiss mapenzi anayompa, anajuta kwanini hakumjua mapema, anampenda sana na mambo kama hayo, toka majuzi mpaka muda huu sijamwambia ila yeye amashaanza kujistukia yaan amekuwa mpole ghafla anajikanyaga kanyaga tu.

Nimekuja humu najua kuna wake na waume za watu ma-legend ambao wameshapitia hii adha mnipe ushauri what to do maana nimechanganyikiwa nikikumbuka hizo sms kichwa kinapata moto.

Nawaza hata nimuache asee maana upendo wenyewe hakuna tena.
Hakuna mwanaume Rijali asiyechiti,kama anakupenda kaa Kwa kutulia Tu.
 
Na kama huwez kutulia unaoa ili iweje? Kwani huwezi kuendelea na uplay boy kwa raha kuliko kuoa halafu ukaanza kuplay kwa mashaka? Na kama unaoa ili uzae si unaweza zaa tu na ukahudumia watoto bila shida?? Sasa kwann mnaoa kama mnajua hamuwez kutulia?
Hayo maswali kamuulize mlezi wako wa kidini
 
Back
Top Bottom