Wanaume mtuvumilie tu kwakuwa tunaogopa matusi yenu

Hiyo biashara inalipa sana kwa kweli kama unapata wateja
Yaani kuna mboga nyingi sana naziona huku nje ambazo huko wengi hawazijui
Nataka nikirudi nije na mbegu nizitambulishe huko kama Cress, asparagus, celery,broccoli cauliflowers, artichokes na turnips
Kuna mboga nyingi ambazo wenzetu wanalima kwa kutoa nchi zingine ila sisi tunajua mchicha tu
Labda mwenzangu umeziona hizo huko home Hebu nijuze kidogo na Soko lake pia
Broccoli ni mboga nzuri sana, hizi cress celery bitter root suede. Ukizipanda bongo wateja utawapata? Labda uwe katika miji mikubwa.

Kuna Mkikuyu nilikutana nae Hexham, Mimi ninatoka shift yeye amekwenda kununua gari. Katika story aliniambia anaisafirisha nyumbani pickup double cabin ya 2017. Aliniambia wana shamba la mboga nje kidogo ya Nairobi na wanahitaji gari ya kupeleka mboga sokoni asubuhi.
 
Broccoli ni mboga nzuri sana, hizi cress celery beet root suede. Ukizipanda bongo wateja utawapata? Labda uwe katika miji mikubwa.

Ilala kuna mboga mboga sana. Wanunuzi wapo wengi hasa wenye asili ya asia.
 
Na soko la ma TX Kinondoni, tatizo kwa biashara kama hii unahitaji gari ya kuleta mazao asubuhi mjini kwani shamba linaweza kuwa Kibaha.
 
Broccoli ni mboga nzuri sana, hizi cress celery beet root suede. Ukizipanda bongo wateja utawapata? Labda uwe katika miji mikubwa.

Kuna Mkikuyu nilikutana nae Hexham, Mimi ninatoka shift yeye amekwenda kununua gari. Katika story aliniambia anaisafirisha nyumbani pickup double cabin ya 2017. Aliniambia wana shamba la mboga nje kidogo ya Nairobi na wanahitaji gari ya kupeleka mboga sokoni asubuhi.

Labda kwa mijini Kweli kama wazungu au uwe supplier wa supermarket tu
 
Na soko la ma TX Kinondoni, tatizo kwa biashara kama hii unahitaji gari ya kuleta mazao asubuhi mjini kwani shamba linaweza kuwa Kibaha.
Na ukiwa ni biashara kubwa unaenda mahotelini unaomba tenda ya ku-supply mboga. Gari sio lazima liwe lako unaweza angalia vile biashara ilivyo kama ni kukodi canter au kirikuu unakodi kutokea eneo ulipo.
 
Nilishalima ndizi kwa kutegemea usafiri wa kukodi. Nilipata hasara sana.
 
Tunacheza upatu, vikoba, vibubu ni kwa kujikwamua kiuchumi. Kuna mengine tunashindwa kuwaambia maana mkikasirika hamchagui maneno.

Unatumiwa ujumbe nyumbani nyumba inavuja, paa limechoka. Hawana msaada mwingine wanakutegemea wewe. Ukimshirikisha mumeo katika hili, wee usipompigia pasi shati lake utasikia, “shukran huna juzi tu niwebadilisha paa kwenye nyumba ya baba yako”.

Tumeamua, katika ile 5,000 ya mboga unayoacha tunakata 3,000 inaingia kwenye kibubu na inaunganishwa na upatu J’mosi. Hii 2,000 inatosha fungu la dagaa kavu na bamia. Ukirudi unakuta roast ya dagaa na juice ya maembe.

Mnafanya mengi lakini hatuwaambii kwakuwa wengine makoo yenu yako wazi mno.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sidhani mtu anayebana 3k ana malengo hayo. Pesa yote hiyo itaenda kwenye vijora na english gold huku ukingojea mnuso.
Cha msingi ni kukubaliana na mume mshahara ukitoka anajua fungu flani anampa mke, lingine reserve na lingine ndio atumie.

Hayo yote msingi wake ni upendo na maelewano.
Ila niliwahi kusoma kitabu changamoto kubwa zinazosumbua ndoa nyingi ni

1 Pesa
2 Mawasiliano
3 Tendo la ndoa
 
Hayo uote msingi wake ni upendo ma maelewano.
Ila niliwahi kusoma kitabu changamoto kubwa zinazosumbua ndoa nyingi ni

1 Pesa
2 Mawasiliano
3 Tendo la ndoa
Hapa pa mawasiliano ni msingi wa mengine yote.
 
Wewe endelea kukaa kwenu unasubiri uolewe na mtu tajiri na anae toka kwenye ukoo tajiri siku ukija kushituka miaka 40 hiyo hapo na wewe ulikuwa unasubiri boti Airport.

Acha kushoboka na wanaume utatobolewa tundu hilo.

Unaleta ushoga kwenye maoni ya wanaume.

Hata wadogo zangu wa kike nimewaambia kuwa kuliko uolewe na masikini ni bora uje nikuoe mwenyewe.

Watoto wangu wa kike nitawaambia kuliko uolewe na mwanaume masikini ni bora uje nikuoe mimi baba yako.

Kuolewa na masikini ni sawa na kuolewa na na maiti. Au kuoa maiti.

Angalizo;. Acha shobo za kishoga. Situmiagi mtandao wa tigo.

Mbuzi maji wee
 
Hapa pa mawasiliano ni msingi wa mengine yote.

Uko sahihi kabisa. Mawasiliano mazuri yataweka wazi kila kitu ikiwepo mambo ya Pesa na Tendo la ndoa, hivyo vya mwanzo vikiharibika vinaharibu kila kitu.
Nataka nikuongezee mtaji wa chapati....au unaogopa matusi? Mie nna koromeo lakini
 
Acha kushoboka na wanaume utatobolewa tundu hilo.

Unaleta ushoga kwenye maoni ya wanaume.

Hata wadogo zangu wa kike nimewaambia kuwa kuliko uolewe na masikini ni bora uje nikuoe mwenyewe.

Watoto wangu wa kike nitawaambia kuliko uolewe na mwanaume masikini ni bora uje nikuoe mimi baba yako.

Kuolewa na masikini ni sawa na kuolewa na na maiti. Au kuoa maiti.

Angalizo;. Acha shobo za kishoga. Situmiagi mtandao wa tigo.

Mbuzi maji wee
Umasikini si kilema ni matatizo. Dr Mengi RIP alisimulia alivyozaliwa kwenye umasikini lakini amekufa akiwa tajiri.
 
Hiyo menu uliyoitoa hapa mbona inafanana na menu ya nyumbani kwangu!! Wewe siyo Mama Maregesi kweli?
Tunacheza upatu, vikoba, vibubu ni kwa kujikwamua kiuchumi. Kuna mengine tunashindwa kuwaambia maana mkikasirika hamchagui maneno.

Unatumiwa ujumbe nyumbani nyumba inavuja, paa limechoka. Hawana msaada mwingine wanakutegemea wewe. Ukimshirikisha mumeo katika hili, wee usipompigia pasi shati lake utasikia, “shukran huna juzi tu niwebadilisha paa kwenye nyumba ya baba yako”.

Tumeamua, katika ile 5,000 ya mboga unayoacha tunakata 3,000 inaingia kwenye kibubu na inaunganishwa na upatu J’mosi. Hii 2,000 inatosha fungu la dagaa kavu na bamia. Ukirudi unakuta roast ya dagaa na juice ya maembe.

Mnafanya mengi lakini hatuwaambii kwakuwa wengine makoo yenu yako wazi mno.
 
...kwa wanaofanya hivyo ni sawa kabisa- shida ni hawa kila kikipita kitu anakopa hivyo kila ukiacha elf 7 basi analipa denj elf 5@Sky Eclat,
 
Back
Top Bottom