CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 6,939
- 23,001
sina tatizo na pesa ya kwenye kibubu,shida itakuja tu kama pesa hiyo hatoweza hata kuitumia saidia familia tunapopita katika magumu na mapito.Mwanamke kuficha pesa wakati wa shida ndo changamoto ata ivo ukikuta kuna mwanamke ana roho ya ivo asee ana roho ya ngumu sana hakutakiwa apewe ata watoto sasa!! Ila vya kibubu mviache vinapunguza kelele kati yako na familia ya mkeo......
ila kama hamna tatzo lolote kwenye familia,pesa naacha kama kawaida,maisha safi then nakutana na hela kwenye kibubu au hata tu kwenye kabati aniambie ni zake,wala sina tatizo na sitouliza chochote,ni pesa zake. nina amani kbsa.
ila si kwa mfano ule niliutoa pale juu.