ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,285
- 19,471
Aisee ngoja niwe makini na haya majina mawili Mwajuma Madera, Shamimu Saloon, yawezekana kuna kitu haiwezekani wasumbue namna hiyo wakati mhusika ana dera moja tu na nywele fupi, ahsante mkuu kwa kunitoa tongotongo.
Mi siwezi kwanza nasahau nikikusave ndivyo sivyoKisa ni infidelity tu, yaani nisumbuke hivyo ili tu ku-maintain sexual relationship na mtu fulani? Watu mna matatizo sana, sex is as addictive as heroin/cocaine, tuwe na kiasi.
Umeonaee
Ngoja nifikirie nakusave vipi![emoji12]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mama ntilieNgoja nifikirie nakusave vipi![emoji12]
Hapo nitajulikana kirahisi, nakusave "Mwalimu" ili ajue ninafatilia maendeleo ya mtoto[emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeona eeh!kimbembe siku kuna dharura nyumbani anachukua namba anapiga kwa mwl...!halafu namjibu mwanafunzi gani...?!![emoji3]Hapo nitajulikana kirahisi, nakusave "Mwalimu" ili ajue ninafatilia maendeleo ya mtoto[emoji12]
na wewe wa kwako yule ume msave jina gani?Hii ni technic aisee
Hahahaaah sasa unataka tusevu vipi??Number ya simu ime kuwa saved Juma kumbe mhusika ni Mwajuma au Victor kumbe mhusika ni Victoria. Simu unapopigwa unaona unaita unaona jina kwa roho safi unamplekekea mhusika.
Dah, ni zaidi ya uuaji aisee.Kuna bro mmoja aliniambia alikuwa anakula mke wa boss lakini alisaviwa Diana. Basi Diana akipiga simu anambiwa yanayoendelea na boss ametulia. Anaambiwa hivi hapa tunakunywa chai na mzee na Leo anasafiri kwenda Zurich kwa wiki mbili. Information tayari
Umesahau fundi wa frijiNumber ya simu ime kuwa saved Juma kumbe mhusika ni Mwajuma au Victor kumbe mhusika ni Victoria. Simu unapopigwa unaona unaita unaona jina kwa roho safi unamplekekea mhusika.
Fundi wa gariNumber ya simu ime kuwa saved Juma kumbe mhusika ni Mwajuma au Victor kumbe mhusika ni Victoria. Simu unapopigwa unaona unaita unaona jina kwa roho safi unamplekekea mhusika.
Hahahahaha.......Muzak mkaa, utastuka ukimuona Miyazaki mkaa ni bank taller