Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 15,921
- 14,820
Wanaume mnalipia vibaya kuweni macho jamani.
Kama kuna mwanaume aliemwumiza vibaya mwanamke huku duniani na mwanamke akaamua kuambia jamii nzima jinsi alivyoumizwa, huyo mwanamke Mungu ambariki lakini sio aisee mpaka naona huruma.
Ndio wanaume walivuruga sana mama zetu, dada zetu huko nyuma, lakini Dhambi ya kumvuruga mwanamke ni mbaya, bora umvuruge mnyama kuliko mwanamke.
Wazungu wanasema one woman's trash is another woman's tressure! Lakini trash haijawahi kuwa cleaned ndio hio inayoleta matatizo kwa wanaume hivi leo wanakuja na vilio wanawake wa kuoa amnaaa, wanawake wanapenda helaaaa, wanawake hawafugiki wanapenda mteremkoo. Wanawake hawajatulia hii yote ni kwasababu mjinga mmoja wa kiume alimwumiza mwanamke m1 tu sumu ikasambaa mpaka kwa vizazi vya 5 ndio akina mimi na wewe.
Nchi za Ulaya ya Europe akina Norway, Finland, wanaume walianzaga michezo ya kuwaumiza wanawake wanawake wakaambiana buana, ikafika mahali wanawake wakagoma kuzaa, miaka ikasogea serikali ikaona nchi yao haina wazawa, wakafanya urafiki wakaambiwa wanawake wamegoma kwasababu hii na hii na wanaume ndio chanzo kama hawatabadilika hatutazaa.
Serikali ikaweka Beijing pale ikawasikiliza, sasa hivi huwezi cheza na mwanamke wa kizungu, hiyo punishment yake utajutaa kuzaliwa mwanaume.
Mimi nawaombeni wanaume wa kiTanzania mliobaki mtubu Dhambi za baba zenu kwa Mungu wa Mbinguni na mbadilike otherwise mtakuwa mnalia tuu hamna wa kuoa hamna wa kuoa mpaka Yesu anarudi nyie kazi zenu ni kujipiga bao tu mwisho wa siku unakuwa mngese kwisha habari yako.
No man is an Island unafikia tu point unataka kuoa lakini kwasababu ulivuruga unakosa kuoa mke mzuri unaishia kupata design ya uliowavuruga mwanzo afu unalalamika, Jeesooos.
Sasa wanawake sikuhizi wamekuja na itikadi mpya, baada ya kuona wanaume wanaendekeza michepuko (side chic, side piece), ndani ya ndoa kunanuna nje ya ndoa kunacheka. Ni vile tu wanaume hawajui wanawake wakishaambizana vitu vya hushikilia milele.
Isikilize hii video ujionee muujiza wa itikadi mpya wa wanawake juu ya wanaume yeleuwi.
Msicheze na wanawake, ni maji ya moto hao oho!