HitimishaKwa hiyo tufanyeje dada.
Nakutabiria wewe dada..kama bado hujaolewa basi lazima uje kuwa single mother.No reforms no election
Tuweni wakweli tu ndugu zangu
Hii unalichukuliaje kwangu mimi imenishinda
Unakutana na mwanaume anakwambia akuoe ukimuangalia bado uchumi umemchumu yaani kiufupi maisha yamempiga na ana miaka 34 hana kazi ya kueleweka yaani hata geto ana miliki godoro na nguo zake tu. Ubaya zaidi tayari ana mtoto, hebu waza hapo miaka tunapishana 7
Jamani msione kama tunataka wa mafanikio sana.. kwa umri wangu kuolewa na single father ambae ni broken bora nitafute kijana mwenzangu tuliepishana miaka 2-3 tukaanza maisha wote. Kuliko kujitumbukiza huko kwa single father broken mwenye stress zote
Kama ni ndugu yako wa kike au mwanao ungemshauri vipi??
Natabiri dada zako na watoto zako lazima wawe singlemaza with multiple babies daddyNakutabiria wewe dada..kama bado hujaolewa basi lazima uje kuwa single mother.
Nimgande anioe wakati yupo kijana mwenzangu anajitafuta anataka kunioa hata ya mkeka mkuuUna miaka 27 ambayo baada ya miezi 6 utakuwa na 28.
Ukicheza kidogo tu, unaangukia ghorofa tatu huku jina lako linabadilika na kuitwa Mshangazi.
Sasa Mshangazi wewe:
1) Pesa huna
2)Mume huna
3)Watoto huna
4)Ramani huna
5)Connection huna
Sasa si bora tu, uyajemge na mwamba Ili mjue mnatoboaje mkiwa pamoja?
Hela ya mwanamke huliwa na mganga au mchungajiUpo sahihi,
Ila kuwa makini maana si muda sana utaanza kutafuta kijana mdogo zaidi yako, uliyempita hata zaidi ya miaka 7, ambae utakuwa unamtunza wewe
Wanaume broken lazima mponde mkaoe baby mama zenu hukoHata wenzako walisema hivohivo, sasa hivi wanatafuta anayepumua tu.
Mbona nyie mnadharau single maza mkuki kwa nguruwe sioAcha dharau
Achana na hao ambao uchumi umewachumu njoo nikuoe bintiNo reforms no election
Tuweni wakweli tu ndugu zangu
Hii unalichukuliaje kwangu mimi imenishinda
Unakutana na mwanaume anakwambia akuoe ukimuangalia bado uchumi umemchumu yaani kiufupi maisha yamempiga na ana miaka 34 hana kazi ya kueleweka yaani hata geto ana miliki godoro na nguo zake tu. Ubaya zaidi tayari ana mtoto, hebu waza hapo miaka tunapishana 7
Jamani msione kama tunataka wa mafanikio sana.. kwa umri wangu kuolewa na single father ambae ni broken bora nitafute kijana mwenzangu tuliepishana miaka 2-3 tukaanza maisha wote. Kuliko kujitumbukiza huko kwa single father broken mwenye stress zote
Kama ni ndugu yako wa kike au mwanao ungemshauri vipi??
Huyo kijana mwenzio ana 29 au 30?Nimgande anioe wakati yupo kijana mwenzangu anajitafuta anataka kunioa hata ya mkeka mkuu