Wanaume msiojua kutongoza mnakera

Shule zinafunguliwa Tarehe 8 mwezi ujao.
 
Unatongoza ili iweje!
Mimi huwa natamka haya maneno " naomba tamuuu".
Baada ya muda napiga bakambu.
 
Sasa madem wote ninaowapeleka peleka kizungu zungu kama unavyotaka wewe hua wananitosa, ila wale nao wapeleka kimakonde kama ambavyo hutaki wewe lazima mzigo uliwe...
 
Kumbe naweza kuanza biashara kabla sijapata leseni!?
 
Kunakutongoza kwa aina nyingi sana.
Kuomba penzi moja kwa moja ni sahihi kulikokupita njia ndefu
 
Wacha buana,umeamua uteme nyongo eti??.
 

Aisee
 
Nami ni single touch double manifestation, hakuna kuchunana bila kwanza kujua matokeo, pesa ngumu at, watafanya ivyo hao wenye pesa za pata potea, sisi tukishatenga 50,000, inatakiwa iclose deal.
 
Endelea kuliwa tu mpaka ujaze coaster mbwa maji mmoja wewe..
 
Nadhan hii ndio wanapenda mwisho wasiku kuja kutukan wanaume wote.wanagawa k zao kama panya bila hata kutongozwa ngedere mwitu hawa
 
Kwani kusema nimekubali na sijakubali sh ngapi? Yaani mtu kukuelewa hadi akulishe chakula au bia/soda?
Mzee hawa kwa kifupi wengi ni kama omba omba.Wana njaa na tamaa ya vya watu na wakat na wao wanavyo.Ukiwaambia wanajiuza wanakutukana!!
 
Acheni hiz kitu ndo moja ya sababu watu wanaamua kuwabaka au kuvamia vitoto vdogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…