Wanaume msiojua kutongoza mnakera

Na wale wanaume ambao wakitutongoza na tukawakubalia tu hapo hapo wanaomba mzigo wakome mimi mwanaume akinitongoza nikamkubalia halafu eti siku hiyo hiyo akaniomba mzigo mbona atafurahi na roho yake jinsi nitakavyobadili gia angani
Vipi nikituma Muamala wa M-PESA siku hiyo hiyo uliyonikubalia tongozo langu utaurudisha pia??
Au vepe
 
Ambaye ni mke wangu leo katika mahusiano yetu sikuwahi kumuuliza ombi langu vp na wala hakuniambia kama ombi langu amelikubali, huwa hata mimi mwenyewe sielewi mpaka leo ilikuwaje mpaka tukaoana bila neno la "nimekubali ombi lako" kusemwa.
 
Yaani mapenzi mazuri ya kweli yanakuja tu automatic aiseeee
 
Eti Eeeh!!!
Ndo nipo hivo,Yani nakutake care mpaka unaona kama unachelewa kunipa.Halaf huwa sina haraka.Kuna mdada nilimcare mpaka nampikia,tunaenda Kula chips yai la kitaa,analala hapo pembeni asubuhi kila mtu na majukumu yake.Hakuamini
 
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji39]
 
Yaani mapenzi mazuri ya kweli yanakuja tu automatic aiseeee

Nikifikiriaga hii incidence huwa sielewagi inawezekanaje, ila viashiria vya kukubaliwa unaviona tu. Ukimwomba kitu mfano mwende sehemu, akusindikize sehemu na excuse zake zinakuwa nadra sana, ujue mwelekeo ni mzuri maana anahitaji muda zaidi na wewe ili akufahamu so, be calm and stay focused.
 
Kwanza mm nikimtokea demu akiniambia tu nimpe muda afikirie atanipa jibu, basi hapo hapo naachana naye namwambia tuachane tu na biashara hiyo, siwezi kusubirishwa nawekwa eti nitapewa jibu, ujinga huo sinaga
 
Hivi bado kuna vijana wanatongoza, mi nilishasahau maana mwanamke unamjengea mazingira fulani mwenyewe anajikuta kagegedwa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…