Wanaume mpoo?

Wanaume mpoo?

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,841
Reaction score
25,351
Mwanamke akitulizwa anatulia mf. Hai ni zari ,zari alikuwa anadate na kila mtu kila mtu,hadi akaitwa shangingi ila leo shaby wake amemtuliza zari hasikiki kama yupo.

Katulizwa tuli anapewa huba lakutosha. So mnapo dai mwanamke malaya aliwahi tulizwa akakataaaa. Sema mtu akipata chake ni chake.
 
Usiusemee moyo, hua kuna mengi nyuma ya tabasamu la mtu.
 
Kwaiyo wanawake wote Hawa,
Umeona wa kumtolea mfano ni Zari
 
Mwanamke akitulizwa anatulia mf. Hai ni zari ,zari alikuwa anadate na kila mtu kila mtu,hadi akaitwa shangingi ila leo shaby wake amemtuliza zari hasikiki kama yupo.

Katulizwa tuli anapewa huba lakutosha. So mnapo dai mwanamke malaya aliwahi tulizwa akakataaaa. Sema mtu akipata chake ni chake.
Njoo huku kuna kazi za kufanya tofauti na hizo zisizokuwa na msaada kwako
 
Mwanamke akitulizwa anatulia mf. Hai ni zari ,zari alikuwa anadate na kila mtu kila mtu,hadi akaitwa shangingi ila leo shaby wake amemtuliza zari hasikiki kama yupo.

Katulizwa tuli anapewa huba lakutosha. So mnapo dai mwanamke malaya aliwahi tulizwa akakataaaa. Sema mtu akipata chake ni chake.
Ni muda tu huyo shaby sijui shabani atajua kunguru hafugiki
 
Back
Top Bottom