wanaume mnataka nini?

wanaume mnataka nini?

Latoya

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
660
Reaction score
457
Nilipokuwa single hakuna men alihangaika nami,but now am with someone imekuwa kero wananijia wengi hadi naogopa? kwa asili mie ni mwera nikiwa na man anadata ,its nature wale single boys walo nikataa wanakuja kwa kasi,but why?
 
Hawana shida na wewe but wanataka kuwa wanamsanifu Jamaa yako. Wewe unadhani shida ni wewe?wao ni wanataka Jamaa yako awe laughing stock wao. Thus it. Kumbe hujui hilo.
Msimamie bwana wako sasa, make him to feel proud, stand for him, maintain His respect, dont ever fail him. Be there for him.
 
Hao walikuwa hawajui kama vizuri vinagharamiwa!
 
Inaonekana jamaa anakupendezesha walau waonekana,pengine zamani ulikua kama kiza!

no he is not doing anything to me japo anataka ila nimemkataza,he has his job an money am also working so i stopped him,ila ananipa deals za ukweli hadi nadata
 
Back
Top Bottom