:shock::shock::shock::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
I can be anything I wanna be, anywhere with anywho! But with you I have something special, I will take ur soul(to hell)! U wanna try me?
.......ninapotaka Mimi ni hapo tu.......wakajua weye hako kanyimbo?Why ar u shocked and embarrassed?
Do u know what I want?
All I want is to see my man happy,and me to be his woman. Is that embarrassing? Now I'm asking me the same question, wanaume mnataka nini! Phweeeew!
Who is Bishanga here by the way?......Ameshakuja mwenyewe bishanga ni seme ni siseme?
ukisema upoteze muda kumwaza mwanaume na kero zake utakonda bure...dawa yao hao ni kupiga mzigo tu (kazi) km huna shida vile they are always maproducer wa stress.:juggle:
kweli mapenzi nitaishia kuyasoma tu
nina machungu wewe
nimeshindwa kabisa kuelewa heri niwe tu peke yangu
Wanaume huwa hawajielewi wanachotaka. Wanataka yote wakati wanajua ni ngumu kupata. Sio wote jamani, msining'oe pua.
Wanaume huwa hawajielewi wanachotaka. Wanataka yote wakati wanajua ni ngumu kupata. Sio wote jamani, msining'oe pua.
wewe ndio unajua ni ngumu wenzako wanaona ni fresh na wanatoa mambo
Tunapenda kunyenyekewa zaidi Husninyo...
Muda wote..hata kwenye maongezi ya kwenye simu,nyumbani,kadamnasi,etc.
Ila mbele za watu,ndiyo kwa sana....
mbona huwa mnawatesa wapenzi wenu wanaowapenda na kuwanyenyekea mnaenda kunyanyaswa na mashankupe.
Pole mwaya shoati wangu,nimeshindwa kabisa kuelewa heri niwe tu peke yangu
Wanataka uliyowaahidi kipindi unapokea zawadi.