Wanaume mnataka mgundue nini

Haaaaaaaaaaa wewe unachapiaga sanaaaa hata wasap unachapiaga sanaaa unaishia kusingizia simu ngoja nikuchekee jamaaaaan nmecheka mpaka mbav zinaumaaa
Yahni Mimi kwa michapio kiboko nachapiaga hadi naona aibu mwenyewe.....wats up ndio balaaa...Unakumbuka ....**** tank..tank .
Alafu nashtuka nishatuma.

Tuvumiliane tuuu...hakuna namna
 
Kabisa kwa nini tujibanee....mapenzi yetu wenyeweeeee bhanaa
Hayo baby yanaitwa mahaba niweke ndani ya jaba nifunike ,, watu wengine wasinione tofaut naww !!!..

Almaarufu km Mahaba ,, nachokipata ule wewe hats nikishinda njaaa ,hata nikibaki mifupa wewe nenepa
 
Huyo msichana alokua nae yupo sahihi kuwa na mwanaume umri wa baba yake? By the way km baba yako ni wa iman ile... Labda anataka kuongeza mke wa tatu bado yupo kwenye uchumba na huyo binti
Mwambie aliona wapi jogoo akawa na jike moja au la umri wake pekee.

Tatizo ni u beijingi kujifanya hawajui ASILI YA BINADAMU HASA BINADAMU DUME.
 
Usipokubali hapa hapa jukwaani mbele ya jf members basi una roho ngumu...[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Akaaaah mwenzangu najikubalia hapa hapa maana ile mibebisho hatariiii mkuu...full kulainika hata kama vyuma vimekazaaa au hata kama ulifura unajukuta unacheka Cheka kama chizi aloona ndugu zake......mibebisho ya huyu bwana acha tuu.
 
Kumbe uko dar mkuu?!!ebwana eeehh..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…