DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,904
Wewe ni nani hadi unataka uwe na mwanaume wa peke yako ?Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni nani hadi unataka uwe na mwanaume wa peke yako ?
Wasioolewa watapata wapi dushelele ?
Sina Naomba unisamehe!
Duh wanawake kumi mikoa tofauti kwa stahili hii wanaume miaka ya kuishi ndo mana michache sema pole sana dada jitaidi safari hii umtafute mwanaume malaika mana wanaume wengi mashetani
Sent using Jamii Forums mobile app
UTELEZI AS FAR AS UTAMU TUKO NAO ....WE STRIVE FOR UTELEZI PYAAAAAAA
Ulinikataa kwamba umeshapata mchumba wako mwenye nia njema, sasa pole sana aisee!Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Shetani unamjua au unamsikia wewe?Yaani ni hivi, huyu mwanamme niliyemwamini na kumpenda sana, kumbe ni Shetani.
Nimegundua ana wanawake wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti, baadhi yao nimeongea nao na kujiridhisha. Ila cha ajabu bado anakataa hawajui.
Mbona kuna watu wanafurahia mapenzi kwa nini mimi nateseka?
Nimeamua kumwacha ila naumia sana jamani.
Ama kweli dunia haina usawa
Sent using Jamii Forums mobile app
chura unayo ?wengine zaidi ya 10 mikoa tofauti,
Shetani unamjua au unamsikia wewe?
Ulinikataa kwamba umeshapata mchumba wako mwenye nia njema, sasa pole sana aisee!
Rudi sasa bado sijaoa! (Usichukie )
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumi tu unalalamika, wakiwa 100?
kule kwa wengine kafata chura, vipi wewe unayo mkuu ?
kule kwa wengine kafata chura, vipi wewe unayo mkuu ?