Wanaume mnashangaza sana

Wanaume mnashangaza sana

Sidharau wala sikashifu lakini kwa mwanamme alie na akili timamu na amekamilika kabisa swala la kuoa single mom ni fedheha kabisaaaa by nature. Hiyo ni nature kabisaa mwanaume ameumbwa ku pass his bloodline kwa mwanawake alomchagua yeye peke ake. Ndo mana hata simba akikuta jike lina watoto anaua kwanza watoto ili atengeneze his bloodline. Kuona mwanaume anaoa mwanamke wake wa kwanza huku mwanamke huyo ana watoto kazaa na mwanaume mwingine asee huyo mwanaume atakua na shida flani very serious. Naongea haya bila kuwadharau single mothers na wanao wa owa single mothers maana siyo sahihi kabisa. Kuwaoa tuu ndo shida ipo hapo.
 
Mleta mada bado hujanishawishi kuoa singo maza, maana wanawake wa zamani kama mama zetu sisi wahenga walikuwa wanajiheshimu sio kama sasa unakutana na singo maza kwenye basi unaomba shoo anakukubalia siku hiyo hiyo kisha anaanza kujishikiza kutaka ndoa
 
limejadiliwa sana bila mafanikio, sasa ni wakati wa kulipeleka bungeni
 
CONCLUSION
basi single mothers watafute single fathers waoane, lkn sio lzma ukipata single boy kakupenda no worries
 
Mi nataka kwanza maneno yaliyowekwa ************* ndio nije nikoment
 
Kwani singo maza hawezi kuwa alitoa mimba kabla? Anaweza kuwa kazaa na ashatoa mimba kadhaaa na mwinginw anaweza kuwa hajazaa na hajatoa mimba.
Point..
Wengine walitoa mimba tatu ya nne wakaona ngoja wazae tu
 
Mleta Uzi umemaliza vizuri mwisho kuwa huna mtoto na hujaolewa,unasubiri nini mpaka sasa au uko njiani kuelekea kuwa single mother?
 
Nafurahi kuna mwanamke mwingine analiona hili.
Huu ugonjwa inabidi ukemewe sasa!

Maalbino wanauwawa kabisa. Lakini kelele ni za single mothers. Maalbino hawajalilia kupendwa wala kuheshimiwa, wanataka chance ya kuishi!
Mi huwa sielewi kabisa kwa hili special group lililojiibua siku hizi "singo maza" kuna siku nliona hadi kuna kipindi kabisa cha TV eti cha singo mazas serious???
Teh sijui nitaambiwa najishaua!!! Ila mie siwaelewi hii huruma wanohitaji kwa jamii ni ipi hasa
 
Point ya huu uzi wako " umeilenga kwenye hiyo Aya yako ya mwisho yenye herefu kubwa "... nadhani wadau wameshakuelewa ".. ila nakukumbusha tu usisahau kulipia TANGAZO
 
kwa hiyo mtoa mada wataka kutuambia kwamba" kwakuwa baba yangu/baba zetu walikosea katika falsafa za maisha yao basi na sisi tuige makosa yao ", sindio !!?,

Au na wewe ndio wale wale " wanaowaona wazazi kuwa ni MIUNGU na huwa hawakosei '' mwisho wa siku wa naiga kila kitu toka kwa wazazi hata vile ambavyo ni Mashudu visivyo stahiki kuigwa katika maisha
 
Single mothers ni disaster! Never ever try them. Povu ruksa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom