Wanaume mnashangaza sana

Wanaume mnashangaza sana

Mi usingo mama huwa nauona katika muonekano wa tofauti, achana na waliofiwa na waume, achana na walionyanyasika hadi wakaamua kuleft,yani mwanamke umeibuka tu unaenda kujibebesha ukute tena ni kwa Mme wa mtu halafu unapiga uturn kutafuta huruma...mi huwa hainiingii akilini
 
Habari za single mother kumbe bado zinaendelea tu
 
Kwa hiyo kwa ufupi unasema Wanaume ambao hatujakuzwa ama kuzaliwa na single mama tuwadharau?

Hapana binadamu wote kabla ya kutofautiana tunatakiwa tuheshimiane kwa aslimia 100.

Kama ilivyo kwenye sheria kabla haujatiwa hatiani wewe ni raia mwema na mtiifu.
 
Hivi mnavyowaponda single mazaz, mbona ndo hao hao waliowalelea?????

Dah kutokana na mijadala mingi ya hapa jf nimeona nije na huu uzi

Ipo hivi, baadhi ya wanaume wamelelewa na single mazas yaani mamake alipewa mimba na mwanaume mwingine akamkataa mtoto akakulia kwa bibi, au wengine walikuwa na ndoa wakaachana, au mamake aliolewa yeye akiwa ameshazaliwa so akalelewa na babake wa kufikia ila cha kushangaza mtu huyo huyo anasema usije owa single maza.

Hivi wewe ujue ****** asingeolewa pengine asingezaliwa mana ****** aliolewa akiwa na watoto watatu wewe ukaja kuwa wanne.

Pia ****** asingeolewa hao leo unaowaita brothers sisters usingekua nao mana ****** naye alikuwa ashaachwa

Hebu heshimuni hawa wadada msiwafanye wajione si binadamu nao wana haki ya kupendwa na kuthaminiwa

Mimi bado nitakupinga kwa baadhi ya wanaojitakia kwa kudanga na waume za watu....mtu unajua kabisa huyu ni mume wa mtu na hana mpango na ndoa...ila bado unadanga tu.
 
Mi usingo mama huwa nauona katika muonekano wa tofauti, achana na waliofiwa na waume, achana na walionyanyasika hadi wakaamua kuleft,yani mwanamke umeibuka tu unaenda kujibebesha ukute tena ni kwa Mme wa mtu halafu unapiga uturn kutafuta huruma...mi huwa hainiingii akilini

hao singo mazas wa kujitakia wapambane tu na hali zao, tatizo wanaowakashfu singo mazas wanawakashfu singo mazas kwa ujumla
 
Mi usingo mama huwa nauona katika muonekano wa tofauti, achana na waliofiwa na waume, achana na walionyanyasika hadi wakaamua kuleft,yani mwanamke umeibuka tu unaenda kujibebesha ukute tena ni kwa Mme wa mtu halafu unapiga uturn kutafuta huruma...mi huwa hainiingii akilini
Mume wa mtu ni nani?mwanamme ni mwanaume tu hana hati miliki
 
Mkuu samahani.... ungebadilisha kichwa chako cha habari...!!

Kumshangaa mwanaume siyo issue... issue ni siku utakayo ona mwanaume anaenda haja ndogo kwa kuchuchumaa, hapo ndipo utahitaji kuwashangaa wanaume...

Hizo zingine ni BRN tu.. zichukulie poa..!
 
Nyie mnaofungua nyuzi hizi ndio mnaendeleza mjadala
 
Ulikua na point nzuri sana mkuu, lakini umefanya mpangilio m-baya kwenye uandishi wako.
Back to the point......
Hao hao wanaume wanao ponda single mamaz, wamesahau tu kwamba hao wanao watukana ama kuwaponda ni Mama zao, Shangazi zao, Binti zao na mbaya zaidi wanaume hao hao wanajisahaisha kwamba wao ndio Baba za hao watoto. Ama kwa lugha nyepesi hao wanaume ndio walio wazalisha hao single mamaz, na wao ndio single Babaz
 
Kuzaa ni kuzaa tu bna.watuache tupumue
 
Hivi mnavyowaponda single mazaz, mbona ndo hao hao waliowalelea?????

Dah kutokana na mijadala mingi ya hapa jf nimeona nije na huu uzi

Ipo hivi, baadhi ya wanaume wamelelewa na single mazas yaani mamake alipewa mimba na mwanaume mwingine akamkataa mtoto akakulia kwa bibi, au wengine walikuwa na ndoa wakaachana, au mamake aliolewa yeye akiwa ameshazaliwa so akalelewa na babake wa kufikia ila cha kushangaza mtu huyo huyo anasema usije owa single maza.

Hivi wewe ujue ****** asingeolewa pengine asingezaliwa mana ****** aliolewa akiwa na watoto watatu wewe ukaja kuwa wanne.

Pia ****** asingeolewa hao leo unaowaita brothers sisters usingekua nao mana ****** naye alikuwa ashaachwa

Hebu heshimuni hawa wadada msiwafanye wajione si binadamu nao wana haki ya kupendwa na kuthaminiwa
Nimekupenda ghafla.
 
Ngoja nifunguke ili ushuhuda wangu ikiwezekana
usaidie wengine na si vinginevyo.
Mimi nimeoa mke wangu nimemkuta na mtoto
aliyempa mimba walikutana sekondari
jamaa alivyompa mimba akatoroka shule
binti akarudi kwao akajifungua na kulea mwanae.
katika harakati zangu za kutaka kuoa nikamwona
ananifaa nikuoa, sasa mtoto nimemsomesha
na tunaendelea na maisha na hakuna tatizo lolote.

Mimi kilichonifanya niwakubali hawa watu
ni uvumilivu wao wa kutowaua hawa viumbe
wangali tumboni ili waendelee kuitwa mabinti.
kumbe unakuta mtu kaishateremsha injini hatu tatu
mpaka nne,unaoa alafu unajigamba kwamba
huwezi kuoa mtu aliyezaa kumbe wewe
umeoa jambazi mtoa roho za watu.
Mambo mengine tuishiage kukaa kimya
maana anayejua ni Mungu tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom