Nyabhakangala
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 841
- 796
Hata unitetea vp single mother NO.
Hongera kama hujazalishwa, sasa unasubili nn?Hivi mnavyowaponda single mazaz, mbona ndo hao hao waliowalelea?????
Dah kutokana na mijadala mingi ya hapa jf nimeona nije na huu uzi
Ipo hivi, baadhi ya wanaume wamelelewa na single mazas yaani mamake alipewa mimba na mwanaume mwingine akamkataa mtoto akakulia kwa bibi, au wengine walikuwa na ndoa wakaachana, au mamake aliolewa yeye akiwa ameshazaliwa so akalelewa na babake wa kufikia ila cha kushangaza mtu huyo huyo anasema usije owa single maza.
Hivi wewe ujue ****** asingeolewa pengine asingezaliwa mana ****** aliolewa akiwa na watoto watatu wewe ukaja kuwa wanne.
Pia ****** asingeolewa hao leo unaowaita brothers sisters usingekua nao mana ****** naye alikuwa ashaachwa
Hebu heshimuni hawa wadada msiwafanye wajione si binadamu nao wana haki ya kupendwa na kuthaminiwa
NOTE:SIONGELEI WALE WALIOJIKENGESHA KWA WAUME ZA WATU WAKADAKA MIMBA ILI WAOLEWE, NAONGELEA, WALIOKATALIWA BADA YA KUZALISHWA, KUACHWA, KUNYANYASIKA KWENYE NDOA AKAAMUA AONDOKE, KUFIWA ETC
MUHIMU:MIMI SIJAOLEWA BADO NA SINA MTOTO
😂😂😂😂Unawaza matusi sana kiasi kwamba badala ya kuandika "kama"...umeishia kuandika "K.uma"
Matokeo yake, maneno yamefichwa