Kwani kumbembeleza mwanaume wako ni sh ngapi? Mie tu huwa naweka binduki pembeni, nabembeleza weeeh nabembeleeeza weeh hadi anakoma. Bembeleza bwana, acheni uvivu nyie mabinti.
We nawe bila picha naona mambo hayanogi kwako lolNogesha basi na vipicha vya hapa na pale kama Mtambuzi
Mh mwanaume ni kama mtoto, mbembeleze, mpetipeti,muweke kifuani apate joto lako huku unamuambia maneno laini ya kimahaba, mlee kama unavyomlea mtoto
"no matter how great or respected a man is he is still a baby to the woman he loves"
Kama hutaki kumbembeleza wapo watakao kusaidia
Usije tu kutuanzishia thread Hata, eti ooh anatoka njee
The earlie u understand this the better
Tubembelezane...
Mie mwenyewe napenda kubembelezwa na kudekezwa...
Ntakubembembeleza na kukudekeza huku nikitegemea kubembelezwa na kudekezwa pia.
Mkienda hivyo mambo swafi...
Kwani kumbembeleza mwanaume wako ni sh ngapi? Mie tu huwa naweka binduki pembeni, nabembeleza weeeh nabembeleeeza weeh hadi anakoma. Bembeleza bwana, acheni uvivu nyie mabinti.