Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,162
Eeeeeeeh yamekuwa haya?Na Hawa alishawishiwa na Shetani kula tunda, Hapa kuna somo moja wanaume tunakwenda na Mungu na wanawake wanakwenda na shetani.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]

🙈🙈Umejua kunichekesha we kamchuchu... hebu nidanganye na mimi unionjeshe tunda
Hivi haya maneno naweza kuyapata katika kitabu gani ?ADAMU alipo ulizwa na MUNGU je ulikula tunda nililo kuagiza usilile. Adamu akajibu si huyu mwanamke uliye nipa ndiye aliye nipa.
Badala ya Adamu kuomba msamaha kwa kosa lake, badala yake, anamsingizia mkewe
Kama ilivyo kuwa kwa Adamu ndivyo ilvyo hata sasa.
Hapana, msitufungie! nikiwa mgeni nitategemea unionyeshe maeneo na njia za kupita; halafu huru...Kwa hyo mnataka tumifungie ndani tusiwape uhuru Kama hapo zamani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mechekaHapo kwa adam,Adam Hana kosa ila nachokiona hapo mwanamke ni Kama daraja la uovu!! Adam kasema kweli kwani nani kamshawishi ulitaka aseme ng'ombe..?
Halafu huyo Adam kwanini alimuacha Eva atembee peke yake ili hali ni mgeni eneo lile! Yeye ndio kasababisha yote haya
ADAMU alipo ulizwa na MUNGU je ulikula tunda nililo kuagiza usilile. Adamu akajibu si huyu mwanamke uliye nipa ndiye aliye nipa.
Badala ya Adamu kuomba msamaha kwa kosa lake, badala yake, anamsingizia mkewe
Kama ilivyo kuwa kwa Adamu ndivyo ilvyo hata sasa.
Mtoto akifeli shule utasikia umechukua akili za mama yako. Kumbe hata wewe mwenyewe ulifaulu kwa madesa ya rafiki zako.
Kubariki kuwa hata nyinyi si watimilifu.
Na nyie huwa mnarusha mawe kimya kimyaADAMU alipo ulizwa na MUNGU je ulikula tunda nililo kuagiza usilile. Adamu akajibu si huyu mwanamke uliye nipa ndiye aliye nipa.
Badala ya Adamu kuomba msamaha kwa kosa lake, badala yake, anamsingizia mkewe
Kama ilivyo kuwa kwa Adamu ndivyo ilvyo hata sasa.
Mtoto akifeli shule utasikia umechukua akili za mama yako. Kumbe hata wewe mwenyewe ulifaulu kwa madesa ya rafiki zako.
Kubariki kuwa hata nyinyi si watimilifu.
pole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mecheka
Sasa wakiacha kiniita babu si nitakosa vingi?🙈🙈
Ndio hivyo; Yaani wewe onja tu tunda, halina madhara kabisaaa.
Tena utakua kijana, wataacha kukuita "babu" 😜
ADAMU alipo ulizwa na MUNGU je ulikula tunda nililo kuagiza usilile. Adamu akajibu si huyu mwanamke uliye nipa ndiye aliye nipa.
Badala ya Adamu kuomba msamaha kwa kosa lake, badala yake, anamsingizia mkewe
Kama ilivyo kuwa kwa Adamu ndivyo ilvyo hata sasa.
Mtoto akifeli shule utasikia umechukua akili za mama yako. Kumbe hata wewe mwenyewe ulifaulu kwa madesa ya rafiki zako.
Kubariki kuwa hata nyinyi si watimilifu.
🤣Sasa wakiacha kiniita babu si nitakosa vingi?
Mimi ni BABU.🤣
Tatizo lako unataka vyote; chagua moja ubaki kuitwa babu au uwe kijana?
Shikamoo BABU!Mimi ni BABU.
Danganya wengine. Unadhani sijui umuhimu wa matunda mwilini? Ntayakula mpk nitakapodediShikamoo BABU!
Sasa BABU, lile tunda, usilikule kabisaaa! Lina Madhara, wewe endelea kufaidi vingine 😀