Wanaume mnapaswa kuwa na akili.

Wanaume mnapaswa kuwa na akili.

true watu wakigombana wanahisi wanatakiwa kua maadui

mm ma ex zangu wote tunaachana vzr sana yan na karbu nnaeachana nikimuomba tukumbushie hawachomoi kwa kweli sijawahi nyimwa mchezo na ex wangu so enyi wanaume achanen vzr na wapenz wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabsa unakuta mtu unaachana na mtu unaenda kumchafua kwa wengne.. That is ujinga kabsa!... Katka maisha kuna leo na kesho tunafundshwa kustiliana kwa madhaifu cyo kutangazana! Umefanya vyema mwaya atafute zuzu mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake apa ndo ua siwaelewi,... Kama yeye ulitaka akusamee inashindikan lipi wew kumsamehe yaishe kama ulimpenda,... Uu. Uzi wa kipuuzi
Uzi si wa kipuuzi ila wewe ndie yawezekana ni 'mpuuzi' (neno lako mwenyewe)
Yeye alitaka asamehewe ila kamwe hajasema amewahi kutoa madhaifu ya huyo Mwanaume, tabia hizo hufanya wavulana wa secondary, Mwanaume aliyekamilika kamwe hawezi fungua kinywa chake kuongea neno la kumdhalilisha mpenzi wake hata kama wamehitilafiana... Ukijiona una tabia hizo jua una element za ushoga... Na yeyote anayetetea huyo Mwanaume basi ni mpuuzi wa mwisho
Mimi ni Mwanaume na hizo tabia nimezifanya wakati nipo secondary utawala wa mwisho wa Mkapa kabla ya mzee wa Msoga...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume mwenye tabia hizo hafai kuwa mume kabisaaaaa, refer kuna movie moja aliigiza Johari na Cloud wapo hotel wanasex halafu jamaa anapiga simu anaongea na mshkaj wake kua "nipo hotelini na Shemeji yako tumemaliza kufanya mapenzi", Jina nimelisahau.... Ila ukiolewa na huyo kijana najua utakuja kufungua uzi tena wa kujutia maamuzi yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Mimi ni mwanamke mtu mzima (wengi uwa wanachanganyikiwa na hii jina wakidhani ni mwanaume.) Nilikua na mpenzi wangu toka october 2014 na mpaka sasa.
Kwenye mapenzi kuna raha na karaha. Mwanzo tulipendana sana kiasi cha mwenzangu kutambulika kwenye ukoo wa mwenzangu pasipo sisi wenyewe kutambulishana rasmi. Pengine ni kwa sababu wakwe watarajiwa ni majirani na pia tunakutana sana kwenye shughuli za kijamii.
Mwaka 2016, tuligombana na mwenzangu. Lakini kila mmoja akiwa bado ana mapenzi na mwenzie. Lakini kila nilipojaribu kusimamia kisolvu tatizo mwenzangu ndiye aliyeleta shida. Leo siwezi kuingia kwa undani juu ya ugomvi sababu si muhimu kwa mada hii ila ni ugomvi wa kawaida sana ambao mnaweza kuelewana na maisha yakaendelea.
Mwenzangu akaamua kusikiliza watu wa nje waliompa ushauri kuwa ni bora aachane na mimi.
Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuachwa na ninaempenda. Nililia. Niliomba msamaha pasipo kujua kosa. Nilihangaika sana.
Mwenzangu hakujali wala kunionea huruma. Ndio kwanza akaendelea kunituhumu hadi kwa sifa za uongo. Akaenda mbali zaidi na kusema hawezi kurudi labda amdate mama yake.
Kitu cha mwisho kabisa, aliamua kunichafulia kwa ndugu zake wote na akanisingizia mambo mengi mabaya.
Sasa amerudi anaomba msamaha sana. Anataka tuoane na tusahau yote ya nyuma. Nikamwambia kwa jinsi ulivyonichafua, utawalaumu ndugu zako kuweka vipingamizi vya kila aina? Imetosha mimi nilipogombana na wewe, kesho siwezi kugombana na ndugu zako ambao tayari wameonyesha chuki kwa mambo yako ya uongo nami sipo comfortable kama mwanzo.
Kuna la kujifunza mwana jf. Unapogombana na mpenzi wako hata kama kweli ni mbaya, jifunze kumhifadhia madhaifu yake moyoni mwako. Ni utoto na ujinga sana kupeleka madhaifu ya mwenzako na kuongeza juu ili kumchafua. Wanasema mchimba kaburi anaingia mwenyewe. Sasa nimetulia na mambo yangu, mwenzangu anahangaika hajui wapi pa kushika.
Usiku mwema.

Huyo siyo mwanamme!!!!
Mimi nikiacha mwanamke kwasababu za kujiridhisha na ushahidi ninao huwa sirudi. Nikubembeleze kwa lipi? Leo hii mwanaume unalialia eti unalilia penzi!! Tena mwanamke kakufanyizia!!!! Usengerema huo!!! Kudadeeek!!!
 
Nachojua wanawake mna mioyo ya huruma sana pamoja na yote uliyopitia lkn utamsamehe na mtakuwa wamoja tena
 
Ndio maana huwa inashauriwa kukaa kimya pale uwapo na hasira, ona sasa inavyomgharimu kijana kwa kufanya kitu cha ajabu juu yako, anyway samehe mara saba sabini japo kwa ubinadam wetu ni Pagumu kidogo

sent from my Tecno W3
 
Afanya mambo yako achana naye na ukiolewa nae ipo siku yatajirudia huyo kaenda kuchovya huko kakuta mambo si mambo kaona ni afadhali kwako sasa wewe umekuwa spare yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi si wa kipuuzi ila wewe ndie yawezekana ni 'mpuuzi' (neno lako mwenyewe)
Yeye alitaka asamehewe ila kamwe hajasema amewahi kutoa madhaifu ya huyo Mwanaume, tabia hizo hufanya wavulana wa secondary, Mwanaume aliyekamilika kamwe hawezi fungua kinywa chake kuongea neno la kumdhalilisha mpenzi wake hata kama wamehitilafiana... Ukijiona una tabia hizo jua una element za ushoga... Na yeyote anayetetea huyo Mwanaume basi ni mpuuzi wa mwisho
Mimi ni Mwanaume na hizo tabia nimezifanya wakati nipo secondary utawala wa mwisho wa Mkapa kabla ya mzee wa Msoga...

Sent using Jamii Forums mobile app

Mapenzi ya kukomoana ayo ,.
 
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Mimi ni mwanamke mtu mzima (wengi uwa wanachanganyikiwa na hii jina wakidhani ni mwanaume.) Nilikua na mpenzi wangu toka october 2014 na mpaka sasa.
Kwenye mapenzi kuna raha na karaha. Mwanzo tulipendana sana kiasi cha mwenzangu kutambulika kwenye ukoo wa mwenzangu pasipo sisi wenyewe kutambulishana rasmi. Pengine ni kwa sababu wakwe watarajiwa ni majirani na pia tunakutana sana kwenye shughuli za kijamii.
Mwaka 2016, tuligombana na mwenzangu. Lakini kila mmoja akiwa bado ana mapenzi na mwenzie. Lakini kila nilipojaribu kusimamia kisolvu tatizo mwenzangu ndiye aliyeleta shida. Leo siwezi kuingia kwa undani juu ya ugomvi sababu si muhimu kwa mada hii ila ni ugomvi wa kawaida sana ambao mnaweza kuelewana na maisha yakaendelea.
Mwenzangu akaamua kusikiliza watu wa nje waliompa ushauri kuwa ni bora aachane na mimi.
Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuachwa na ninaempenda. Nililia. Niliomba msamaha pasipo kujua kosa. Nilihangaika sana.
Mwenzangu hakujali wala kunionea huruma. Ndio kwanza akaendelea kunituhumu hadi kwa sifa za uongo. Akaenda mbali zaidi na kusema hawezi kurudi labda amdate mama yake.
Kitu cha mwisho kabisa, aliamua kunichafulia kwa ndugu zake wote na akanisingizia mambo mengi mabaya.
Sasa amerudi anaomba msamaha sana. Anataka tuoane na tusahau yote ya nyuma. Nikamwambia kwa jinsi ulivyonichafua, utawalaumu ndugu zako kuweka vipingamizi vya kila aina? Imetosha mimi nilipogombana na wewe, kesho siwezi kugombana na ndugu zako ambao tayari wameonyesha chuki kwa mambo yako ya uongo nami sipo comfortable kama mwanzo.
Kuna la kujifunza mwana jf. Unapogombana na mpenzi wako hata kama kweli ni mbaya, jifunze kumhifadhia madhaifu yake moyoni mwako. Ni utoto na ujinga sana kupeleka madhaifu ya mwenzako na kuongeza juu ili kumchafua. Wanasema mchimba kaburi anaingia mwenyewe. Sasa nimetulia na mambo yangu, mwenzangu anahangaika hajui wapi pa kushika.
Usiku mwema.
Ni sawa lakini kwa utu uzima wako, nashauri uangalie mustakabali wako. Nini malengo yako ya baadaye.

Kwasababu katika jamii zetu, Mwanamke anaheshimika zaidi akiwa katika Ndoa ama katika hali ya kumilikiwa. Hata akiongea kitu kina make sense.

Nikukatishe tamaa kidogo.. Kwa story yako na nilivyoielewa ninamuona huyo Mwanaume wako(Ex boyfriend), hawezi kubadilika tabia zake. Kwakua Ndivyo alivyo, pale anapokua akikabiliana na frustrations zake.

Ni wewe kuamua kumsamehe mrejeane upya na umkubali kama alivyo na drama zake ama kuachana naye kabisa.

Na Kutafuta mwingine atakae jali hisia zako. Kwasababu in ukweli wanaume wote hua hatufanani katika hili. Wako waropokaji na tupo wakimya pia.

*******
Pili kuhusu jina lako, nashauri uweke walau avatar hapo ya mwanamke MTU mzima, ili angalau ueleweke hivyo bila usumbufu wowote. Kama alivyofanya mwanamama wa jF, FaizaFoxy.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wenye misimamo kama wewe ndio tunaowataka kwenye jamii. Usipokuwa makini jamaa atakuwa anakuburuza tu kama mjinga, lakini kwa vile umesimamia hapo atajifunza na akikutana na mwingine hatafanya huo upumbavu tena.
 
Back
Top Bottom