Kijana Wa Makamo
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 212
- 116
Hapana ina maanisha na wewe ni bwawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]
Hapana ina maanisha na wewe ni bwawa
We mzee upo kumbe?[emoji2]Umenikumbusha wimbo wa bongo fleva huyo kijana anaimba,
"...we nenda usisahau nilikupenda angalau..
NA MADHAIFU YANGU UNITUNZIE SIRI ANGALAU..."
mtu anaekupenda hawezi kukusema kwa watu hilo ulijue mara zote atajaribu kukuongezea sifa hata kama hauna. wanawake tunafanyaga hii kitu sana kuwapamba wapenzi wetuluckyline mpenzi wako akija kukusema kuwa wewe ni bwawa utajisikiaje? Mapenzi ni kusitiriana hata kama mwenzako ana mapungufu, na mkiachana iwe kwa amani tu, sio kuzushiana.
Tatizo muda,muda hubadili vitu vingi sana na hufanya watu waone vingi walivyokuwa hawavioni hapo awali.Wanawake apa ndo ua siwaelewi,... Kama yeye ulitaka akusamee inashindikan lipi wew kumsamehe yaishe kama ulimpenda,... Uu. Uzi wa kipuuzi