Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,822
- 40,625
Hivyo hivyo...[emoji2]
Au nimekosea mkubwa
Au nimekosea mkubwa
Mimi pia!Instagram tu imenishinda
kwasababu barabara hazipitiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini haujalala hadi muda huu?
Wanaume kazi mnayo, mwisho mtaambiwa msitumie simu kabisa.
Etii mkemia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukinena upuuzi utakuna na majibu ya kipuuziUrijali unapimwa kwa kigezo kipi ndugu mkemia
Pole kwa kazi.kwasababu barabara hazipitiki
come on usiulize maswali ya kitoto
Hata wajomba zangu wanazipenda sana.Hata jana nimewanunulia snapchart za buku2.Ni zile kwaru kwaru watoto wanapenda kula karatasi zake nje zimendikwa chips snaks ndani ndo snapchat zenyewe ziliko