Wanaume mnakumbushwa msisahau hii kitu

Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,364
4,612
Jamaa anawakumbusha wanaume wote wasisahau ile ahadi waliyo discuss kua leo valentine day wanaume wote wazime simu hadi hapo valentino day itakapoisha... kaniambia niwakumbushe, asanteni sana kwa kuniskiliza
 
mkuu hiki ndicho kipindi, dadaz wanakuwanga calm, na wapole balaa,wanajua unaweza ukafanya ujinga mda sio mrefuu, mara simu yako screen ya smart haifanyi kazi, system chaji, inasumbua, yani wapole balaa

√√kuomba samahani kila mda kitu kidogo tuu, wanaume sio wa mchezo mchezo kipindi hikii
 
Back
Top Bottom