DuuuhUnaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe unachakata papuchi tu.
Ukiamka asubuhi unajikuta huna hata mizigo uliokuja nayo kaiba kila kitu .
Au unakutwa umekufa ulikuwa umesomewa ramani tokea stendi. Unakufa kiboya kisa starehe za muda mfupi.
unatolewa kwenye taarifa za habari umezima , ukiwa na taulo la gesti shida inakuwaga nini eti?? Hamuwezi kula baada ya kutoka safari.
Unakuta wengine wachawi wanakula hadi allowance ya uliyopewa ofisini unaanza kukopa , au mtaji wa kitu kilichokuleta hebu acheni ujinga . Acheni.
Kingine unakuta kakupa UTI, gono ,kaswende , au busha zinavimba au unaotwa malenge lenge , jingine ukute umeambukizwa ukimwi sasa shida yote yanini????.
Eti ?????
Sema tu unamke mzuri anaheshima anajipenda na hana kasoro kakuzalia ila umekuwa keroo tu mnaboa aisee .
Tulieni basi hata muweze kulea mliowaleta duniani ndio maana mnatekwa mnakutwa mmekufa kisa watoto wa watu wake.zawatu mnawachakata.
Goodevening Equation x
Ni vile tu hujui hii kichwa ndogo inavyosumbua hasa ukiwa umepiga maji kidogo. Kibaya zaidi ukute umeenda lodge halafu mwamba anazagamua upande wa pili, yaani hapo hata muhudumu atavutwa, mwanaume haogopi kufa. Ajali kaziniUnaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe unachakata papuchi tu.
Ndio usali au tafuta mchepuko unayemfahamu safiri nayeeNi vile tu hujui hii kichwa ndogo inavyosumbua hasa ukiwa umepiga maji kidogo. Kibaya zaidi ukute umeenda lodge halafu mwamba anazagamua upande wa pili, yaani hapo hata muhudumu atavutwa, mwanaume haogopi kufa. Ajali kazini
Nitqpigwa etiTuonane basi, njoo huku inbox
Mwanaume naye hana hili wala lile naumia sana akija kutoka kazini analala tuPeleka kipochi hicho kikasuguliwe
Nipe basi ninachostahili kazi yako nikuwa busy nakazi nikikuita kule wala hujii sasa unadhani unataka nifanyajeBabe achana na watoto wa Udom hao wanaoishi kwa kutegemea hela ya Boom.
Unafiki tu wala hayuko huko kila uchafu anapakiaSafi, kama uko hivyo
Ametuona wadogo zake wakutudanganya😁😁Unafiki tu wala hayuko huko kila uchafu anapakia
Ajali kaziniNi vile tu hujui hii kichwa ndogo inavyosumbua hasa ukiwa umepiga maji kidogo. Kibaya zaidi ukute umeenda lodge halafu mwamba anazagamua upande wa pili, yaani hapo hata muhudumu atavutwa, mwanaume haogopi kufa. Ajali kazini
Tunaijua hiyooo asitudanganyeAmetuona wadogo zake wakutudanganya😁😁
Missing u nimeota umeninunulia mchuma mkali kwa wema eti ni ndoto ehHahahaha, unajitoa muhanga tu
Mtafute unayempenda safiri nayeMbona hata hawa tunaoishi nao ni wachawi, wachepukaji wanaleta magonjwa na kutubambikia watoto, chuma ulete n.k sasa si bora uyo wa kumla usiku mmoja halafu hatujuani kuliko hawa tunaowapa hifadhi kabisa
WachaaUo ndio uanaume sasa
HahahahaMissing u nimeota umeninunulia mchuma mkali kwa wema eti ni ndoto eh
Huu ninuwongo mtupu. Wanawake wa hivyo kuomba reception wanakuwaga classic na hawanaga mambo ya wizi wala uti.Unaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe unachakata papuchi tu.