Wanaume mna tatizo gani?


Tatizo nyie wanawake mnaweweseka sana na vijanaume vyenye sura nzuri kama za kwenu mkidhani vinakila kitu kizuri kama sura zao na ndo vikishashindwa kula mzigo vizuri mnatujumuisha wanaume wote
 
Nipo my ex mambo vipi

Poa tu, umepotelea wapi? Nani huyo kakuteka kwa kasi ya ajabu that way!! Mwambie bado kawivu kapo kwa mbali hivyo awe anakuachia achia jamani.
 
Poa tu, umepotelea wapi? Nani huyo kakuteka kwa kasi ya ajabu that way!! Mwambie bado kawivu kapo kwa mbali hivyo awe anakuachia achia jamani.

Kumbe bado una wivu....hamna wa kuniteka sema tu mishemishe na joto la dar zinanikeep busy
 
Kumbe bado una wivu....hamna wa kuniteka sema tu mishemishe na joto la dar zinanikeep busy

Ooooh so yo back! Haya bwana, wivu sina ila karoho kanauma.
 
tatizo mnapenda matozz, wanaojaza machen shngoni afu wapenz wenu hamuwaambii ila mnakuja kulalamika hku. kha
 
Kwa mtazamo kama huu lazima wanawake wadai mabadiliko, lazima wanawake watuponde, anyway dogo mwanamke haridhiki kwa kupigwa vingapi,anaweza kuridhika hata bila kupigwa vingapi.

Mkuu fafanua vzr hapa kwanza
 
Pole sana.Tafuta mwingine. Alafu hao watunisha misuli wengi nguvu za chini hawana.
 
Bila shaka unaongelea wanaume wa rombo siyo Dar
 
Napita tuu hapa naenda hapo kupata supu ya pweza
 
Mwanamke anamchango mkubwa sana wa kupunguza/kuongeza perfomance ya mwanaume kunako 6 kwa 6,kwahyo unapomlaumu mwanaume jitazame na wewe kwanza...au hujawah kusikia mwanaume anaweza kusex na mwanamke flan asiende hata round mbili,ila kuna mwanamke akikutana nae ni kwamba match inakua bab kubwa,mwanamke anajua kweli hapo amekunwa.
 

hahahaaa dah asa tubadilike nn dada hiyo co tabia huo ni ugonjwa..na tiba za huu ugonjwa cjui kwann azipogo yan..haha ila umenichekesha xana umehadaika na kifua na mapushup!?
 

Mm katika mapenzi na pesa nataka mapenzi..Eee mola niepushe na type hizo za wanaume maana ntajikuta nacheat tu
 
unatusingzia sio wote ila ukwel wangu nikikutana na dem hajui kujshughulsha kunako uwanja wa fund seremala mzuka huwa unakata kabsa hayo mambo yanahitaji ushirikiano kama vijana wa la masia ushindi lazma hebu jaribu kuonyesha ushirikiano

Point.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…